Author : Paul Elias

Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Ziko ibada kuu tatu ambazo watu wengi sana katika nyakati hizi za Mwisho watu wanaziabudu pasipo hata kufahamu. Maana ibilisi amewafumba macho wasiweze kutambua. Tutazianisha hapa na kuzitazama kwa undani zaidi kwa neema za Bwana. SANAMU ZILIZOCHONGWA KWA MFANO WA MTU. 2.SANAMU-WATU. 3.SANAMU-VITU. Aina kuu hizi tatu ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama wanadamu tunaoishi rohoni na mwilini pia ni wazi kuna mambo mengi sana yanatokea ya kutukatisha tamaa na kuona kana kwamba wakati mwingine Mungu yupo mbali na si au ametuacha lakini je ni kweli?, jibu ni la si hivyo Mungu siku zote ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. “Majaribu ni mtaji..,” kwetu sisi Wakristo majaribu ni mtaji yanayotuongezea daraja kubwa sana pale tunapofanikiwa kuyashinda.. Na bahati mbaya au nzuri siku zote unapokuwa katika jaribu ni ngumu sana kujua kama uko kwenye majaribu.  Na hata unapofahamu upo katika majaribu ni vigumu ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mithali 10:25“Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele.” Kisulisuli kwa jina lingine tunaweza kusema ni kimbunga. Ni upepo ambao huwa unajikusanya sehemu moja na kutengeneza kitu mfano wa nguzo kwenda juu. Sasa ili tuweze kupata maana vizuri katika mstari ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu.  Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu.  Pale tunapookoka na kumpokea Roho Mtakatifu ndani yetu.  Sasa Roho Mtakatifu ndani yetu anafanya kazi nyingi zaidi ndani yetu na tunaposoma maandiko yanasema ni MSAIDIZI. Maaana yake anatusaidia pale tusipoweza anasimama nafasi hiyo katika kutukamilisha. Kabla ya kwenda katika kiini ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Swali: kwa nini Raheli aliiba miungu ya baba yake? Je alitaka kwenda kuiabudu na wakati ni makosa mbele za Mungu. Kabla ya kwenda moja kwa moja kulijibu swali hili tusome kwa ufupi kifungu hiki kidogo. Mwanzo 31:18 “Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Pengine umewahi kujiuliza maandiko yanaposema kuwa “Eliya nae alikuwa ni mwanadamu na mwenye tabia moja na sisi lakini aliomba kwa BIDII…nk” ni swali ambalo Wakristo wengi wanatamani kufahamu ni kwa namna gani Eliaya aliomba kwa bidii? Tunafahamu tu maandiko yanasema kuwa Aliomba kwa bidii lakini ni kwa ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama watu tuliomwamini Yesu Kristo ni lazima kuwa makini na aina za marafiki tulionao. Kabla ya kuenda katika kiini cha somo letu ni vyema tufahamu rafiki ni nani? Rafiki ni mtu wa karibu unayemwamini kwenye maisha yako ya kila siku. Anakuwa anafahamu ..

Read more

Waebrania 10:25“wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.” Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Umewahi kujiuliza vyema na kutafakari kwa kina swali hili..” kwa nini ninakwenda kanisani kila siku jumapili, Jumatano, ijumaa nk” ..

Read more

Shalom Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo nuru katikati yetu Limekuwa swali kwa watu wakitamani kujua kama kweli, upo umuhimu wowote wa kumlipia binti mahari, pale kijana anapotaka kumuoa, na wengine wanajiuliza je Adam alilipa kwa nani mahari ya hawa? Kwanza kabisa ndoa ya kwanza iliunganishwa na Mungu mwenyewe, Adam asingeweza kutoa mahari ..

Read more