Hebu tuvipitie vifungu vyenyewe 2Petro 2:12 “Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama tu wa kukamatwa na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao; 13 Wakipatikana na madhara, ambayo ni ujira wa udhalimu wao, WAKIDHANIA KUWA ULEVI WAKATI WA MCHANA NI ANASA; wamekuwa ni mawaa na aibu wakifuata anasa ..
Author : Paul Elias
Shalom Mwana wa Mungu, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mtume Paulo katika mstari huu ametaja mambo makuu matatu kabla ya kwenda kuyatazama kwa undani tusome mstari huo unasemaje! Wafilipi 3:2 “Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao” Mtume Paulo alikuwa akilionya ..
Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla ya kwenda kutazama maana halisi ya mstari huu ni vizuri tukajua kwanza zamani makaburi yalikuwa ni ya aina gani. Makaburi ya zamani yalikuwa ni ya tofauti kidogo na ya sasa.Kama tunavyojua Makaburi ya kipindi hiki ni Makaburi yanayochimbwa kwenda chini kaa ..
Dhabibu za roho ni zipi, zinazotajwa kwenye biblia? 1Petro 2:5 “Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa mwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo”. Dhabihu ni sadaka za kuteketezwa hizi zilitolewa katika agano la kale. Hizi sadaka zilikuwa na lengo la kufanya upatanisho wa ..
Biblia inasema katika Yakobo 4:9Kwamba kucheka kwetu kugeuzwe kuwa maombolezo, je Mungu hapendi tuwe tunafurahi? Au maana yake ni nini mstari huu? Maandiko yanasema… Yakobo 4:9 “Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu”. Kicheko kilicho tajwa hapo ambacho kinapaswa kigeuzwe kuwa maombolezo sio kicheko cha mambo mazuri, kwamba ..
Chrislam ina tambulika kama ni muungamaniko wa maneno makuu mawili. (Yaani Christian na Islamic). Likachukuliwa Neno la kwanza Chris katika Christian, likaunganishwa na Neno la katikati “slam” kutoka katika Islamic. Kuunda Chrislam Ni imani iliyotokea, kwenye nchi ya Nigeria miaka ya 1970. Kutokana na kutokuwa na maelewano ya kiimani baina ya jamii hizi mbili za ..
Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Luka 12:50“Lakini nina ubatizo unipasao kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe! “ Umewahi kulitafakari jambo hili kwa undani zaidi kuhusu ubatizo aliobatizwa Yesu Kristo pamoja kikombe alichokinywea Yesu Kristo? Wengi wetu huwa tunaishia tu pale ..
Mungu alimpa maagizo Musa atengeneze nyoka wa Shaba, ili kila mtu alieumwa na wale nyoka wa moto akimtazama huyo nyoka apone. Kama maandiko yanavyosena… Lakini Mungu hakuwahi kusema kwamba Wana wa Israeli kuwa muda au mazingira yeyote yale watakapo patwa na magumu au shida basi ndo wamsimamishe nyoka wa shaba wamtazame ili wapone, hakuwahi kusema ..
Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Iko hatari kubwa sana katika nyakati hizi za Mwisho na kama tusipokuwa makini tutajikuta tunafanya kazi ya kuchosha. Na kwasababu ya upofu tukaona ni kawaida tu. Wakristo wengi sana wanavitwaa viungo vya Kristo na kuvifanya kuwa vya kahaba(kuviungamanisha ..
Bwana yesu apewe sifa mwana wa MunguTushukuru Sana Kwa neema ya kuiona Leo maana si Kwa nguvu wala Kwa uweza Bali Kwa huruma,fadhili na mapenzi yake basi tuna paswa kujifunza neno lake kila tunapo muda na wakati maana lipo kusudi la Mungu kusoma huu ujumbe. Waefeso 5:15-18 biblia inatuambia hivi.. “15 Basi angalieni sana jinsi ..