Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Korbani ni neno limeonekana mara moja tu!, katika Biblia.(Marko 7:11) sasa maana yake ni nini?. Marko 7:8-13 “8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. 10 Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama ..
Author : Paul Elias
Shalom!, Bwana Yesu asifiwe!. Chuo cha vita cha Bwana ni moja ya vitabu vya Kihistoria ambacho kina rekodi matukio yote ambayo Bwana aliwapigania watu wake na kuwashindia. Hivyo ni kitabu kinachoelezea matendo makuu ya Bwana alivyo wapigania na kuwashindia katika vita. Kitabu hiki kimetajwa katika. Hesabu 21:13 “Kutoka huko wakasafiri, wakapanga upande wa pili wa ..
Shalom!, Bwana Yesu asifiwe. Wasamaria kama tunavyosoma katika Biblia hawa walikuwa ni watu kutoka samaria kaskazini Mwa mji wa Yerusalemu. Baada ya ya Israeli wote kupelekwa Ashuru utumwani nchi ya Israeli ilibakia tupu bila mtu yoyote. Mfalme wa Ashuru wa Ashuru aliwachukua watu wengine(Wasamaria/wageni) ili kwenda kuikalia nchi ile ili isiwe poli. Sasa hawa wasamaria ..
Ebenezer/Ebeneza ni neno la Kiebrania lenye maana ya “Stone of Help” yaani JIWE LA Msaada. Neno hili tunalipata katika kitabu cha 1 Samweli 4:1. Sehemu ambayo walikutanika wana wa Israeli kwenda kupigana na majeshi ya Wafilisti. Na hata walipokutanika na kupanga vita Israeli walipokwenda kupigana na Wafilisti Israeli wengi yapata watu elfu nne walipigwa. 1 ..
Bwana Yesu asifiwe! Dhamiri au Dhamira. Ni hisia za ndani kabisa zinazomsaidia Mtu kupambanua jema na baya. Na hii haitokani na kufundishwa lakini Mungu kakiweka ndani yetu. Dhamiri ni mfano wa mtu wa ndani ambae yeye anatusahihisha na kutushuhudia pale tunapotaka kufanya jambo lisilopaswa kama uovu nk. Hivyo wakati mwingine utakuta unakosa furaha au Amani ..
Katika Agano la Kale arabuni imetajwa mara nyingi zaidi. Hivyo Arabuni ni Eneo ama sehemu ambayo iko mashariki ya kati. Ampapo wafanyabiashara mbali mbali walikuwa wakimletea Fedha, dhahabu nk Mfalme Sulemani 2Nyakati 9:14 “mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na maliwali wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha”. ..
Uasherati. Ni kitendo cha kufanya tendo la ndoa kwa makubaliano ya hiari kwa watu wawili mwanamke na mwanamume ingali bado hawajaowana. Neno hili alilizungumza Bwana wetu Yesu Kristo. Mathayo 5:32[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya UASHERATI, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.” Hivyo ikiwa umewahi kufanya ngono ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Katika Agano jipya biblia imeandikwa kwa Lugha ya kiyunani yaani Kigiriki. Na kutafasiriwa kwa lugha mbali mbali!, Sasa katika Lugha Yetu ya Kiswahili Neno la Mungu linatajwa katika sehemu nyingi kama “NENO “. sehemu nyingi tunasoma utakua “Neno la Bwana likanijia/Neno la Bwana likamjia” Hivyo tunaliona katika sura ..
Shalom Bwana Bwana Yesu apewe sifa. Beelzebuli katika Agano la Kale alikuwa ni mungu wa Wafilisti(Philistine) kwa sasa inajulikana kama Palestina. Pale Mfalme Ahazia alipoanguka kutoka juu kule Samaria akaugua sana hivyo akatuma wajumbe waende wakamuulize kwa Beelzebuli mungu wa Ekroni kwamba je atapona ugonjwa huo. 2 Wafalme 1:[2]Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Maneno haya mawili yanatumika sana kwa Watakatifu wengi, na huenda huwa unayasikia mara kwa mara lakini huenda hujui nini maana yake. Maana hata mimi nilikuwa nikiyasikia kwa muda mrefu lakini sikuwa najua maana yake hapo kabla. Sasa leo tutakwenda kujifunza maana ya maneno haya mawili. Shalom Ni neno ..