Tafsiri ya Mithali 15:27 atamaniye faida huifadhaisha nyumba yake mwenyewe.

  Maswali ya Biblia

Lugha iliyotumika katika uandishi wa Biblia ni Kiswahili cha zamani ambacho ni kigumu kidogo kukielewa na ndio maana mstari huu unakuwa ni mgumu kueleweka hasa kwa mtu anaesoma toleo moja tu la Biblia.

Sasa ili kupata maana nyepesi zaidi kueleweka tukisoma Amplified Bible inaeleza vizuri zaidi hebu tusome.

Proverbs 15:27
[27]He who is greedy for unjust gain troubles his own household, but he who hates bribes will live. [Isa. 5:8; Jer. 17:11.]

maana yake ni “Yeye atamaniye faida huisumbua nyumba yake mwenyewe; bali yeye achukiaye rushwa ataishi.”

Jambo ambalo kweli na nisahihi Kwa mfano mtu Kwa tamaa yake ya fedha na Mali nyingi akaamua kujiingiza kwenye ujambazi na biashara halamu ya madawa ya kulevya hatambui kuwa mwisho wake ni kujiangamiza yeyemwenyewe na nyumba yake

Mithali 16:8
[8]Afadhali mali kidogo pamoja na haki,
Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.

Mwingine utoa rushwa ili apate kushinda dhabuni flani lakini hatambui mwisho wake uta kuwa wa kufadhaisha Sana

Mithali 16:8,25
[8]Afadhali mali kidogo pamoja na haki,
Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.


Better is a little with righteousness than great revenues without right.

[25]Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu;
Lakini mwisho wake ni njia za mauti.

Maran atha!

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx1

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

LEAVE A COMMENT