Category : Maswali ya Biblia

Shalom. Karibu tujifunze Biblia JIBU: Kwa majibu turejee katika Maandiko Wafilipi 3:2 ” Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.” Hapa tunakutana na makundi matatu hatari ya kujihadhari nayo “Mbwa” pili “Watendao mabaya” tatu ” Wajikatao” Sasa tutalitazama kila kundi kati ya haya tukianza na makundi mawili ya mwisho [Kundi la Kwanza]”Watendao ..

Read more

JIBU.. Katika maandiko tunaona Yohana mbatizaji alibatiza kwa maji lakini alishuhudia kuwa Bwana Yesu atakuja kubatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto, Tuangalie sifa kuu tatu za moto.. Sifa ya kwanza ni :kuunguza na kuteketeza vitu visivyofaa kama vile takataka. Hapa ni pale Mungu anapozichoma dhambi zote zilizo ndani ya mtu na ndipo mtu anafikia ..

Read more

Chrislam ina tambulika kama ni muungamaniko wa maneno makuu mawili. (Yaani Christian na Islamic). Likachukuliwa Neno la kwanza Chris katika Christian, likaunganishwa na Neno la katikati “slam” kutoka katika Islamic. Kuunda Chrislam Ni imani iliyotokea, kwenye nchi ya Nigeria miaka ya 1970.  Kutokana na kutokuwa na maelewano ya kiimani baina ya jamii hizi mbili za ..

Read more

Kuna dhambi ambayo huleta mauti, mkristo akiifanya dhambi hiyo wakati ambao bado ana neema ya Mungu atakufa lakini siku ya mwisho atapata wokovu. Mfano Musa alipomkosea Mungu alisamehewa lakini hakuondolewa adhabu ya kifo…Mungu alimwambia kutokana na lile kosa hataiona nchi ya ahadi na hakika atakufa lakini alipokufa aliungana na watakatifu na kuna wakati alitokea na ..

Read more

Shalom karibu tujifunze Maneno ya Uzima.. Warumi 13:14Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa hapo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, na hatimae kuziwasha tamaa za mwili…Mtu anapofikia hatua hii huwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa Kila jambo Lasivyo mtu huyo ..

Read more

Jina la Bwana libarikiwe, karibu tujifunze. Kipindi Musa anamuuliza Mungu kuhusu jina lake alitegemea kutajiwa jina fulani kama vile baali, Ashtoreth n.kZaidi tunaona Mungu anamjibu kwa jumla akisema, wakikuuliza jina langu waambie Mimi ni ” Niko ambaye Niko” Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu. Ukiangalia ..

Read more

Shalom, Karibu tuyatafakari Maneno yenye uzima.. Biblia inasema tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, na leo tutajifunza ni msingi gani tunaotakiwa kuufahamu zaidi.. Waefeso 2:20 [20]Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. Ni kweli kupitia msingi huu wa mitume na manabii ambao ni ..

Read more