Mamajusi, ni watu walitoka masharikii ya mbali maneno ya babeli na walikuwa watu ambao wanachunguza maandiko na walikuwa na shauku ya kumjua Mungu wa Israeli zaidi. Pia hawakuwa wayahudi yaani Waisraeli, ndiyo maana maandiko yanasema walitoka masharikii ya mbali, katika biblia katika nyakati ilipozungumzia Mashariki ilikuwa Ina maanisha nchi za mbali mfano babeli au hidi ..
Archives : October-2024
Kutekewa ni kukosa maneno, yaani kukosa jibu la kujibu na siyo kuchotewa maji Katika Habari hii Bwana Yesu asifiwe alikuwa anazungumzia yule mtu aliyeingia katika harusi kisha akakutwa hana vazi la arusi ndipo akatekewa Mathayo 22:8 “Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili. 9 Basi enendeni hata njia panda za barabara, ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Swali: kwa nini Raheli aliiba miungu ya baba yake? Je alitaka kwenda kuiabudu na wakati ni makosa mbele za Mungu. Kabla ya kwenda moja kwa moja kulijibu swali hili tusome kwa ufupi kifungu hiki kidogo. Mwanzo 31:18 “Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, ..
Ili tuelewe vizuri, kwanza tufahamu kuwa Mungu anaweza kuzungumza na mtu moja kwa moja, au akatumia malaika wake kumpa mtu ujumbe au akamtumia mwanadamu…na pia wakati mwingine hutumia hata wanyama na vitu, kwa mfano kama wewe ni msomaji wa biblia utakumbuka ile habari ya Balaamu, wakati alikuwa anaenda kuwalaani wana wa Israeli, Mungu alimtokea ..