Mkomamanga ni nini kama ilivyotumika katika biblia.

Maswali ya Biblia No Comments

Ni tunda lenye mbegu ndogondogo nyingi.

Ni tunda linalotumika linawakulisha uzuri, ubora, mafaniko ya mtu au nchi.

Tunaweza kujifunza zaidi kutoka katika maneno haya ya uzima.

Kumbukumbu 8:6 “Nawe uzishike amri za Bwana, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha.

7 Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yuakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito vya maji, na chemchemi, na visima, vibubujikavyo katika mabonde na milima;

8 nchi ya ngano na shayiri, na mizabibu, na mitini, na mikomamanga; nchi ya mizeituni yenye mafuta, na asali”;

Mungu alitumia mizabibu mkomamanga, shayiri n.k kuelezea nchi yenye ubora na mafaniko nchi ya ahadi aliyotuahidia Bwana Yesu hata sisi kwa kipindi hiki kaka Ani yetu ni kristo na ili umfikie yatupasa kuubeba msalaba wako Kila siku na kumfuata kristo kwa kutenda mema na kuishi utakatifu Kila

Wimbo 6:11 “Nalishukia bustani ya milozi, Ili kuyatazama machipuko ya bondeni; Nione kama mzabibu umechanua, Kama mikomamanga imetoa maua”.

 

Wimbo 8:1 Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.

2 Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha; Ningekunywesha divai iliyokolea,Divai mpya ya mkomamanga wangu

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *