Category : Maswali ya Biblia

Mamajusi, ni watu walitoka masharikii ya mbali maneno ya babeli na walikuwa watu ambao wanachunguza maandiko na walikuwa na shauku ya kumjua Mungu wa Israeli zaidi. Pia hawakuwa wayahudi yaani Waisraeli, ndiyo maana maandiko yanasema walitoka masharikii ya mbali, katika biblia katika nyakati ilipozungumzia Mashariki ilikuwa Ina maanisha nchi za mbali mfano babeli au hidi ..

Read more

Kutekewa ni kukosa maneno, yaani kukosa jibu la kujibu na siyo kuchotewa maji Katika Habari hii Bwana Yesu asifiwe alikuwa anazungumzia yule mtu aliyeingia katika harusi kisha akakutwa hana vazi la arusi ndipo akatekewa Mathayo 22:8 “Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili. 9 Basi enendeni hata njia panda za barabara, ..

Read more

Yohana aliwabatiza watu kwa maji lakini alisema atakapokuja Bwana Yesu atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto, huu ubatizo wa moto maana yake ni nini? Na sote  tunatambua kuwa moto hufanya kazi kuu tatu. Ya kwanza ni: Kuunguza na kuteketeza vitu visivyofaa kama vile takataka. Hapa ni pale Mungu anapozichoma dhambi zote zilizo ndani ya ..

Read more

  Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu, Leo kwa Neema za Bwana tutakwenda kuangalia ni namna gani tunaweza kushinda au kuleta majibu ya haraka pale tunapoitumia damu ya Yesu Kristo, Kwasababu watu wengi hasa waliookoka wamekuwa wakiita sana damu ya Yesu katika mambo yao mengi, pengine hata kwenye kuomba kwao lakini majibu ya kile walichokitarajia ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Pengine umewahi kujiuliza maandiko yanaposema kuwa “Eliya nae alikuwa ni mwanadamu na mwenye tabia moja na sisi lakini aliomba kwa BIDII…nk” ni swali ambalo Wakristo wengi wanatamani kufahamu ni kwa namna gani Eliaya aliomba kwa bidii? Tunafahamu tu maandiko yanasema kuwa Aliomba kwa bidii lakini ni kwa ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima. DHAMBI,  Ni yale mambo yaliyokuwa yanafanyika kinyume na torati au sheria ya Mungu. Ikimaanisha kuwa mtu yeyote aliyekuwa ameivunja hiyo sheria ni sawa na kutenda dhambi au ameiasi Sheria. Ilijulikana kuwa mtu huyo kabla hajaiasi Sheria alikuwa anajua kabisa kuwa jambo Hilo lilisha hakikishwa na kuonekana kuwa ni kosa na ..

Read more

Karibu mpendwa katika Bwana tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Shetani ni nani? shetani ni malaika aliyetupwa kutoka mbinguni Hadi duniani baada ya kumuasi Bwana Mungu. Japo! duniani Kuna udanganyifu mkubwa ambapo watu wanadhani kuwa shetani anazo pembe za kutisha, anaishi maeneo ya makaburini na wengine hudhania ya kuwa shetani ni ..

Read more