Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu.. Jibu; Hapana hakuna tofauti yeyote katika maneno haya mawili, lakini yana maana moja, na tafsiri ya jina hili ni “paradiso ya raha” hivyo maneno haya hayana tofauti yeyote Ukisoma baadhi ya vifungu katika biblia utakutana na maneno haya mawili, Edeni na Adeni Tusome ..
Category : Maswali ya Biblia
Karibu mpendwa tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Je? Wanadamu wa kwanza aliowaumba Mungu walikuwa wana namna gani? Walikuwa wa rangi gani? Ni vyema tufahamu maandiko hayajaeleza shemeu yoyote kuwa mtu wa kwanza alikuwa mzungu,mwafrika,Mwarabu nk lakini aliumba watu wawili pale Edeni ambao ni Adamu na Hawa nao walikuwa ni jamii ..
Nakusalimu kupitia jina la Mwokozi lenye nguvu, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu .. Turejee Mithali 16:1 [1]Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Hapa aliposema maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, ni kwamba Mungu amempa kila mwanadamu mamlaka au nguvu ya kupanga mipango yake mwenyewe vile anavyotaka ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Andiko hili linamaanisha nini kusema“usimuache rafiki yako wala rafiki ya baba yako….” Tusome mstari huu… Mithali 27:10 “Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali. Andiko hili linatufundisha ..
Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno y uzima ya mwokozi wetu. Kuungama ni kukubali au kukiri jambo wazi wazi pasipo kupindisha wala kusema uongo. Mfano Kama mtu mwenye dhambi ambae amedhamiria kumpa maisha yake Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wake. Kwa kutoka katika giza na kuingia Nuruni huyo ..
Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno Bwana ya uzima. Neno la Bwana linasema Warumi 1:28 “Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. 29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia ..
Shalom karibu katika kujifunza Kuishi kwa neno, ni sawa tu na kuishi kwa kufuata sheria na mtu anapoishi kwa kufuata sheria ni lazima azijue ili ajue namna ya kuziishi bila kuvunja hata moja mfano wa sheria ya nchi ya Tanzania inasema usile rushwa, au usifanye biashara haramu, sasa kwa mtu anayejua sheria ya nchi yake ..
Uchawi ni jambo lolote linalofanyika nje na nguvu za Mungu, kwa sababu hakuna nguvu nyingine inayofanyika nje na nguvu za Mungu zaidi ya shetani.. Na uchawi umebeba mambo mengi, baadhi yake ni kuloga, kuagua, kutazama utabiri wa nyota, kubashiri, kusihiri, kuabudu sanamu, mambo haya huwaaminisha watu kuwa wanaweza kupata msaada tofaututi na nguvu za Mungu ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Je? Mtu mwenye kujipendekeza ni mtu wa namna gani? Mithali 29:5Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. Kabla kwenda kuutazama vizuri mstari huu ni vizuri tufahamu nini maana ya kujipendekeza? Kujipendekeza. Ni kitendo cha mtu kumsifia mtu mwingine kwa sifa nyingi ambazo ..
FAHAMU MAANA YA MITHALI 29:25. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Maandiko yanasema.. Mithali 29:25”Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.” Je kuwaogopa wanadamu kunaletaje mtego? Na ni mtego gani huo unaweza ukampata mtu kama akiwaogopa wanadamu? Mambo mengi yanayafanya watu kwa hofu ya kuwaogopa watu wanaowazunguka. Na kuwahofu kuwa itakuwaje nisipofanya ..