Fahamu maana hori kibiblia

Maswali ya Biblia No Comments

Hori ni nini?

Hori ni mahali palipotengwa kwa ajili ya ng’ ombe kulia chakula.

Maneno haya tunasoma katika maandiko haya ya Mungu ili tupate maana zaidi.

Luka 2:7 “akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni”.

Pia maana nyingine ya hori ni mwanzo wa bahari ulioingia nchi kavu( mkono wa bahari)

Yoshua 15:4 “kisha ukaendelea hata Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na matokeo ya huo mpaka yalikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.

Yoshua 15:4 “kisha ukaendelea hata Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na matokeo ya huo mpaka yalikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.

Matendo 27:38 “Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.

39 Kulipokucha hawakuitambua ile nchi, ila waliona hori yenye ufuo, wakashauriana kuiegesha merikebu huko, kama ikiwezekana”.

Kwanini Yesu alizaliwa kwenye hori la ng’ombe?

Kwa sababu alikuwa na sadaka ambayo ni tayari kwa kutolewa kwa ajili ya ondoleo la dhambiza wanadamu

Pia alizaliwa kwenye hori ikiwa akifunua kazi ya utumishi aliyokuwa akuja kuifanya hapa duniani

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *