Archives : August-2024

  Nakusalimu katika Jina la Bwana Yesu Kristo. SAKITU ama kwa lugha ya kiingereza “Frost”. Ni barafu iangukayo kutoka juu ifunikayo uso wa ardhi, mimea n.k hasa katika nchi au maeneo yenye baridi Kali. tusome..Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na SAKITU YA MBINGUNI ni nani aliyeizaa? 30 Maji hugandamana kama jiwe, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Warumi 8:34 “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; TENA NDIYE ANAYETUOMBEA.” Ni dhahiri Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Anayetuombea, soma Tena.. 1 Yohana 2:1 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende ..

Read more

Neno Tirshatha katika biblia tunalipata katika vufungu vifuatavyo.. Ezra 2:63 Na huyo Tirshatha akawaambia wasile katika vitu vitakatifu sana ,hata atakaposimama kuhani mwenye urimu na Thumimu. Nehemia 10: 1 Basi hawa ndio waliotia muhuri; Nehemia, ndiye Tirshatha, mwana wa Hakalia, na Sedekia; Hili ni neno lenye asili ya kiajemi, maana yake ni mtawala aliyeteuliwa kuwa ..

Read more

Fatilia andiko hili.. Ayubu 22:12 “Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu! 13 Nawe wasema, Mungu anajua nini? Je! Aweza kuamua kati ya giza kuu? 14 Mawingu mazito ni kifuniko chake, hata asione; Naye yuatembea juu ya KUBA YA MBINGU. 15 Je! Utaiandama njia ya zamani Waliyoikanyaga watu waovu ..

Read more