Archives : September-2024

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa muumba wetu. MZUSHI NI NANI? Ni mtu anayezusha au kuolongea jambo ambalo lina makusudio ya kuweka mgawanyiko. Hata katika kanisa wapo wazushi wanaozusha mambo ili kuleta mgawanyiko katika kanisa. Biblia imesema tusiwape nafasi wazushi. Tito 3:10 inasema”mtu aliye mzushi baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ..

Read more

Shalom Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo nuru katikati yetu Limekuwa swali kwa watu wakitamani kujua kama kweli, upo umuhimu wowote wa kumlipia binti mahari, pale kijana anapotaka kumuoa, na wengine wanajiuliza je Adam alilipa kwa nani mahari ya hawa? Kwanza kabisa ndoa ya kwanza iliunganishwa na Mungu mwenyewe, Adam asingeweza kutoa mahari ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima Toka kwa Bwana wetu yesu kristo. Jibu ni hili kwamba mariamu alimzaa Bwana Yesu kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani  Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na siyo mama wa Mungu. Bwana yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta kuabudiwa na ndiyo ..

Read more

Kumekuwa na sintofahamu sana katika swala hili la uvaaji wa suluari, haswa kwa wanawake kuna baadhi ya watu, hudai kuwa ni vazi kama vazi lingine maana linamsitiri mwanamke, Je jambo hili ni kweli? Jibu: Ukweli ni kwamba vazi hili suluari halimpasi kabisa mwanamke kuvaa, kwanza kabisa vazi hili la suluari tunalithibitisha katika maandiko lilionekana kuvaliwa ..

Read more

Shalom. Katika Agano la kale. Neno sayuni limetumika mazingira tofauti tofauti, mfano, baada ya Daudi kuiteka Yerusalemu, ile sehemu ilitiwa ngome ya sayuni (2Samweli 5:7), hivyo kwa hapa imetumika Kama mji wa Daudi au wa Mungu. Kadhalika na mlimani ambapo hekalu la Mungu lilijengwa liliitwa pia mlima sayuni, (Yeremia 31: 6,12) Mahali pengine utaona ni ..

Read more