Archives : September-2024

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuna funzo kubwa sana Mungu anatamani tulifahamu katika habari ile ya mwanamke msamaria na Bwana Yesu pale kisimani. Wengi wetu huwa tunaisoma na kuona ni Habari ya kawaida tu lakini sivyo. Swali hili tujiulize/nikuulize “Je inahitaji kipindi fulani kipite katika wokovu ndio ..

Read more

Shalom Mwongofu au aliyeongoka ni aliyebadilika mwenendo, hivyo ongoka ni “geuka”, biblia ya kiingereza imetumia neno “be converted”.. Mathayo 18.3 “akasema, Amin, nawaambia, MSIPOONGOKA na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni”. Pia limetumika katika Marko… Marko 4: 11 “Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje ..

Read more

  Tusome.. 1Wakorintho 12:3 “Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.” Kikawaida kila mtu anaweza kusema “Yesu ni Bwana”, hata walevi, waasherati,wauaji,wachawi, n.k, kwa ujumla mtu yoyote anaweza kusema “Yesu ni Bwana” pasipo kujalisha hali yake, ..

Read more

  Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tujifunze biblia, Kabla hatujaingia ndani kufahamu tofauti iliyopo kati ya “Kipawa na karama” hebu tuutafakari kwanza mfano ufuatao ili tuweze kuelewa; Watu wawili wamepewa zawadi ya magari ya kutembelea, tena yanayofanana, kila mmoja la kwake.. Ila wa kwanza akalitumia lile gari kwa faida yake yeye, yaani kumrahisishia usafiri, na ..

Read more