Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tujifunze neno la Mungu .. Tusome [2]Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. Jambo tunanalopaswa kufahamu wanadamu wote waliopo duniani, aliyewaumba ni Mungu tu, hakuna mwanadamu ambaye amejiweka mwenyewe hapa Duniani, kwahiyo hata haya makundi mawili ya tajiri na maskini yote ni Mali ya ..
Archives : October-2024
Shalom, karibu tuongeze maarifa.. Sote tunafahamu wingi wa neno mlango ni Milango, kwa kuwa malango na milango ni neno moja linalofanana, Bwana Yesu alilitakamka neno hili,.. Mathayo 16:18 “ Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA. 19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa ..
Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Mungu muumba wetu. Neno la Bwana linasema. Ufunuo 1: 17 “…Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, 18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu”. Alimaanisha kuwa hizo funguo Yesu hakuwa ..
Tusome Kutoka 20:4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia”. 5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, HATA KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE CHA WANICHUKIAO, 6 ..
Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu.. Jibu; Hapana hakuna tofauti yeyote katika maneno haya mawili, lakini yana maana moja, na tafsiri ya jina hili ni “paradiso ya raha” hivyo maneno haya hayana tofauti yeyote Ukisoma baadhi ya vifungu katika biblia utakutana na maneno haya mawili, Edeni na Adeni Tusome ..
Karibu mpendwa tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Je? Wanadamu wa kwanza aliowaumba Mungu walikuwa wana namna gani? Walikuwa wa rangi gani? Ni vyema tufahamu maandiko hayajaeleza shemeu yoyote kuwa mtu wa kwanza alikuwa mzungu,mwafrika,Mwarabu nk lakini aliumba watu wawili pale Edeni ambao ni Adamu na Hawa nao walikuwa ni jamii ..
Nakusalimu kupitia jina la Mwokozi lenye nguvu, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu .. Turejee Mithali 16:1 [1]Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Hapa aliposema maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, ni kwamba Mungu amempa kila mwanadamu mamlaka au nguvu ya kupanga mipango yake mwenyewe vile anavyotaka ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Andiko hili linamaanisha nini kusema“usimuache rafiki yako wala rafiki ya baba yako….” Tusome mstari huu… Mithali 27:10 “Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali. Andiko hili linatufundisha ..
Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno y uzima ya mwokozi wetu. Kuungama ni kukubali au kukiri jambo wazi wazi pasipo kupindisha wala kusema uongo. Mfano Kama mtu mwenye dhambi ambae amedhamiria kumpa maisha yake Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wake. Kwa kutoka katika giza na kuingia Nuruni huyo ..
Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama watu tuliozaliwa mara ya pili ni wazi kuwa kuna mambo mengi tumewahi kuyafanya au kufanyiwa kabla hatujampokea Yesu Kristo. Mengine huenda yaliyawahi kutokea tukiwa katika wokovu kwa kuanguka katika dhambi fulani na nk. Sasa maandiko yanatusisitiza kama wana wa Mungu tusiyakumbuke ..