Archives : October-2024

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu katika kujifunza Neno la Mungu litupalo uzima wa maisha yetu Ukisoma katika, Luka 6:37 “Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa”. Hapa tunaona neno la Mungu linatuqgiza kwa Habari ya kutokuhukumu Wala kulaumu, sasa je ni dhambi au makosa kumwambia mtu ukweli unapoona amefanya jambo isivyo stahili. ..

Read more

Tunachopaswa kufahamu ni kuwa “Mungu ni BABA wa kila kitu hapa duniani na mbinguni pia, ndiyo maana Paulo akasema maneno haya Waefeso 3:14 “Kwa hiyo nampigia Baba magoti, 15 ambaye kwa jina lake UBABA WOTE WA MBINGUNI NA WA DUNIANI UNAITWA”, Kama ilivyo wajibu wa baba wa kimwili ulivyo katika familia yake, jinsi anavyojali, navyohudumia, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Ziko ibada kuu tatu ambazo watu wengi sana katika nyakati hizi za Mwisho watu wanaziabudu pasipo hata kufahamu. Maana ibilisi amewafumba macho wasiweze kutambua. Tutazianisha hapa na kuzitazama kwa undani zaidi kwa neema za Bwana. SANAMU ZILIZOCHONGWA KWA MFANO WA MTU. 2.SANAMU-WATU. 3.SANAMU-VITU. Aina kuu hizi tatu ..

Read more

  Kifo ni Hali ya kutoka uhai ndani kwa kiumbe chochote , na kinaweza kumtokea Mwanadamu,mnyama, mmea, kwa kuwa ndani yao umo uhai basi vinapotokwa na huo uhai vinakufa.. Mauti  ni kifo pia ijapokuwa mauti ipo kwa wanadamu, kwasababu hakuna uhalisia wowote kusema mti umekumbwa na mauti, au paka amekumbwa na mauti, bali sentensi kamili ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama wanadamu tunaoishi rohoni na mwilini pia ni wazi kuna mambo mengi sana yanatokea ya kutukatisha tamaa na kuona kana kwamba wakati mwingine Mungu yupo mbali na si au ametuacha lakini je ni kweli?, jibu ni la si hivyo Mungu siku zote ..

Read more

Shalom! jina la Bwana wetu yesu kristo lipewe sifa karibu mwana wa Mungu tujifunze maneno ya uzima. Tunaweza kusoma kitabu hiki hapa chini. Ayubu 1:14 “Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Moto wa Mungu umeanguka kutoka mbinguni na kuwateketeza kondoo, na wale watumishi, na kuwaangamiza; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. “Majaribu ni mtaji..,” kwetu sisi Wakristo majaribu ni mtaji yanayotuongezea daraja kubwa sana pale tunapofanikiwa kuyashinda.. Na bahati mbaya au nzuri siku zote unapokuwa katika jaribu ni ngumu sana kujua kama uko kwenye majaribu.  Na hata unapofahamu upo katika majaribu ni vigumu ..

Read more

Shalom,karibu tujifunze Neno la Mungu Mtakatifu Ritta ambaye kwa kanisa katoliki anajulikana kama mwombezi wa mambo yasiyowezekana, mfanya miujiza.. Mama huyu alizaliwa 1381 Katika mji unaoitwa kashia kwenye taifa la Italy, mama huyu aliolewa akiwa mwenye umri mdogo, lakini alikuja kufiwa na mume wake na Watoto wake wawili ndipo akajiunga na utawa, ingawaje alipitia changamoto ..

Read more