Kwanini ni lazima kuzaliwa mara ya pili? Yohana 3:3 “Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.” Hapo maandiko yanatupa jibu la moja kwa moja kwamba mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuona ufalme wa Mungu. Ndio maana ni lazima kuzaliwa mara ya pili. Sasa, kabla hatujaona ..