Bwana Yesu asifiwe, karibu tujifunze maneno ya Mungu. Tunaweza kujiuliza kuna tofauti gani kati ya ubatizo wa Yohana na ubatizo wa Bwana Yesu lakini ukweli ni kwamba hakuna tofauti yoyote maana ubatizo ni ule ule mmoja wa toba,tofauti inayotokea ni matumizi ya jina la Yesu. Hata kabla Bwana Yesu hajaja duniani watu walikuwa wanasali, ..
Category : Maswali ya Biblia
Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze neno la Mungu ambalo ni maji ya uzima. NI KIUMBE GANI KINACHOSUJUDIWA HAPO KATIKA WARUMI 1:25? Warumi 1:25 inasema”kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya muumba anayehimidiwa milele” Amina. Kiumbe ni kitu chochote chenye uhai kama vile wanyama na mimea. Maandiko yaliposema ..
Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa muumba wetu. MZUSHI NI NANI? Ni mtu anayezusha au kuolongea jambo ambalo lina makusudio ya kuweka mgawanyiko. Hata katika kanisa wapo wazushi wanaozusha mambo ili kuleta mgawanyiko katika kanisa. Biblia imesema tusiwape nafasi wazushi. Tito 3:10 inasema”mtu aliye mzushi baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ..
Shalom Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo nuru katikati yetu Limekuwa swali kwa watu wakitamani kujua kama kweli, upo umuhimu wowote wa kumlipia binti mahari, pale kijana anapotaka kumuoa, na wengine wanajiuliza je Adam alilipa kwa nani mahari ya hawa? Kwanza kabisa ndoa ya kwanza iliunganishwa na Mungu mwenyewe, Adam asingeweza kutoa mahari ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ili tuweze kuuelewa mstari huu vizuri tuchukulie mfano wa kuku anakwenda kuchinjwa baada hata ya dakika 20 au 10 huyo kuku mauti inakuwa inafanya kazi ndani yake. Maana muda si mrefu anakwenda kuchinjwa. Lakini kwetu sisi ambao tunamla kuku uzima unakuwa unafanya kazi ndani yetu maana muda ..
Bwana Yesu asifiwe karibu katika kujifunza Neno la Mungu Swali: “Kama Mungu alituumba yeye kwanini siku ya mwisho awachome watu katika ziwa la moto”? JIBU: Kwanza kabisa kitu ambacho tunapaswa kukitambua kwa Mungu wetu, sifa yake kuu yeye ni UPENDO, tena mwingi Rehema, na upendo wake hauchangui mwema au mbaya katika kupenda yeye anapenda kila ..
Karibu tujifunze maneno ya uzima Toka kwa Bwana wetu yesu kristo. Jibu ni hili kwamba mariamu alimzaa Bwana Yesu kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na siyo mama wa Mungu. Bwana yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta kuabudiwa na ndiyo ..
Bwana Yesu asifiwe nakusalimu kupitia jina la Yesu, karibu tena katika kujifunza neno la Mungu… Tusome, Waebrania 6:4 “Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, 5 na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, 6 wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu katika. Tukisoma kwenye biblia hakuna mahali imeandika kwamba Daniel alikuwa wapi wakati wa tukio hilo linatokea la wenzake kutupwa kwenye tanuru la moto baada ya wao kukataa kuisujudia sanamu ya Mfalme Nebukadreza. Na hii ni kwa sababu biblia haichukui kila kitu na kukiandika bali inachukua matukio ..
Kumekuwa na sintofahamu sana katika swala hili la uvaaji wa suluari, haswa kwa wanawake kuna baadhi ya watu, hudai kuwa ni vazi kama vazi lingine maana linamsitiri mwanamke, Je jambo hili ni kweli? Jibu: Ukweli ni kwamba vazi hili suluari halimpasi kabisa mwanamke kuvaa, kwanza kabisa vazi hili la suluari tunalithibitisha katika maandiko lilionekana kuvaliwa ..