Category : Maswali ya Biblia

Karibu tujifunze maneno ya uzima Toka kwa Bwana wetu yesu kristo. Jibu ni hili kwamba mariamu alimzaa Bwana Yesu kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani  Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na siyo mama wa Mungu. Bwana yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta kuabudiwa na ndiyo ..

Read more

Kumekuwa na sintofahamu sana katika swala hili la uvaaji wa suluari, haswa kwa wanawake kuna baadhi ya watu, hudai kuwa ni vazi kama vazi lingine maana linamsitiri mwanamke, Je jambo hili ni kweli? Jibu: Ukweli ni kwamba vazi hili suluari halimpasi kabisa mwanamke kuvaa, kwanza kabisa vazi hili la suluari tunalithibitisha katika maandiko lilionekana kuvaliwa ..

Read more

Shalom. Katika Agano la kale. Neno sayuni limetumika mazingira tofauti tofauti, mfano, baada ya Daudi kuiteka Yerusalemu, ile sehemu ilitiwa ngome ya sayuni (2Samweli 5:7), hivyo kwa hapa imetumika Kama mji wa Daudi au wa Mungu. Kadhalika na mlimani ambapo hekalu la Mungu lilijengwa liliitwa pia mlima sayuni, (Yeremia 31: 6,12) Mahali pengine utaona ni ..

Read more

Shalom Mwongofu au aliyeongoka ni aliyebadilika mwenendo, hivyo ongoka ni “geuka”, biblia ya kiingereza imetumia neno “be converted”.. Mathayo 18.3 “akasema, Amin, nawaambia, MSIPOONGOKA na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni”. Pia limetumika katika Marko… Marko 4: 11 “Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje ..

Read more