Category : Maswali ya Biblia

SWALI, Naomba kufahamu sadaka za unga na kinywaji zilitumikaje, na zina ufunuo gani kwa kizazi chetu, JIBU: katika biblia enzi za agano la kale Mungu aliagiza zitolewe sadaka mbali mbali, na ilikuwa ni lazima hizo sadaka zifikishwe madhabahuni pake, maana ili sadaka iitwe sadaka ni lazima ipelekwe madhabahuni. Ikitolewa nje na madhabahu haiwi tena sadaka ..

Read more

  Malimbuko ni sadaka inayotolewa kwenye kitu cha kwanza kupatikana, au kuzaliwa, au zao la kwanza Katika vitu vyenye uhai kama watoto, wanyama,ndege n.k na vitu visivyo na uhai kama mazao, fedha, n.k, kwa lugha nyingine inajulikana kama “first fruits”…enzi za agano la kale mtoto wa kwanza wa kiume kuzaliwa alitolewa malimbuko kwa Bwana. Tazama ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima!.. Swali: Yesu alikuwa na maana Gani kumwambia yule mwanamke chakula Cha watoto hawapewi Mbwa? Jibu: Habari hiyo inayopatikana katika injili yaani mathayo 15:21, Marko7:24-30 unaweza kupitia sehemu zote kwa uchambuzi sahihi zaidi, ni habari inayohitaji umakini mkubwa katika kujifunza. Karibu tutafakari kwa pamoja mazungumzo haya.. Mathayo 15: ..

Read more

Swali: je! Sadaka ya kutikiswa inayoongelewa katika agano la kale ilikuwaje? na je! bado ipo katika agano jipya. Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima libarikiwe daima.. Karibu tujifunze biblia (Neno la Mungu) lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu(Zab119:105) Tukisoma katika Agano la kale Mungu aliamuru zitolewe sadaka mbali mbali, ..

Read more

Bwana Yesu Asifiwe. Jibu: habari hii utaipata katika matendo 15.. Matendo 15:37 ″Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyeitwa Marko pamoja nao. 38 Bali Paulo HAKUONA VEMA kumchukua huyo aliyewaacha huko pamfilia,asiende nao kazini. 39 Basi palitokea mashindano baina yao hata wakatengana….” Tukianzia sura ya 13:13 utaona Yohana hakuwa radhi kuongozana na Paulo na Barnaba kwa kuogopa ..

Read more