Category : Maswali ya Biblia

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Wana wa Israeli walipokuwa jangwani Walipewa mana, lakini haikuwa na Ubora sawa, japokuwa ni mana ileile. Sasa ni kivipi? Majibu tunayapata kitabu Cha kutoka 16:19-36.. 1. Kulikuwa na Mana iliyodumu siku moja Hii iliokotwa kila asubuhi, na kupikwa na iliyeyuka baada ya kupigwa na jua. Tunasoma pia ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Mungu aliupenda Ulimwengu kwa sababu asili ya Mungu wetu ni UPENDO, tusome.. 1Yohana 4:16 ” Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. MUNGU NI UPENDO, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.” Lakini si kwamba Mungu aliupenda Ulimwengu na mambo ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe Mwandishi wa kitabu Cha mathayo. JE ni nani? Jina la kitabu lajieleza lenyewe “INJILI KAMA ILIVYOANDIKWA NA MATHAYO MTAKATIFU” kuonesha Mwandishi ni Mathayo, Sasa swali linakuja, Je! Ni mathayo yupi? Biblia haijaeleza moja kwa moja kuwa ni yupi, lakini wanazuoni wengi na watafiti wa historia ya biblia wanahitimisha kuwa ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Kuhusu jibu la sifa na LAMI ni Nini kama inavyotumika katika Kutoka 2:3, turejee  Kutoka 2:3 “Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akampatia kisafina cha manyasi akakipaka SIFA NA LAMI, akamtia mtoto ndani yake, akakiweka katika majani kando ya mto” Sifa ni aina ya nta inayopatikana au kuzalishwa ..

Read more

Shalom, Biblia inasema na tumfahamu sana Yesu Kristo hata tufikie kimo cha ukamilifu (Waefeso 4:13), Imekuwa ikiaminika kwa asilimia kubwa kuwa mtu aliyeshiba siku ni yule aliyeishi miaka mingi, au mwenye miaka mingi akiwa hai, jambo ambalo halina ukweli kulingana na biblia.. Kama ni msomaji wa maandiko utagundua hilo siyo jambo jipya, kwasababu kuanzia agano ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: nani aliyeandika kitabu Cha Mithali? Jibu: “.. SULEMANI, MWANA WA DAUDI..” Maneno haya tunayapata Mwanzo kabisa wa kitabu hiki, Mwandishi akijitaja mwenyewe kuwa ni Sulemani Soma.. Mithali 1:1 “Mithali za SULEMANI, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu” Neno ..

Read more

JIBU, tusome.. 14]Kwa maana ndivyo alivyo MUNGU, Mungu wetu. Milele na milele Yeye ndiye atakayetuongoza. Mwandishi anaanza kwa kumsifia Mungu wetu kwamba ni tabia yake siku zote kuwaongoza watu wake. Anamaanisha kwamba Mungu hatamuacha mtu bali atamuongoza siku zote katika njia nzuri iendayo uzimani, njia nzuri ya kupigana vita, yenye kujenga na hata kupanda. Ndivyo ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana. Ukisoma kitabu cha  Mithali 26:2 ili maanisha nini? “Kama SHOMORO katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.” Jibu: Laana zisizo na sababu Mungu anazifananisha na Shomoro au ndege wanao Tanga-tanga angani. Jamii mbalimbali za ndege huonekana angani kila siku ..

Read more

JIBU.. Ikiwa mtu amelikiri jina la Yesu na kuamua kumfuata Kristo, ndani yake hutoka chemichemi ya maji yaliyo hai (Mithali 4:23)na Yesu ndiye hutoa maji hayo ambayo hayakauki… Maji hufanya kazi zifuatazo1.Kuondoa kiu2.Kumeesha3.Kuondoa uchafu4.Kugharikisha ikiwa yatazidi Hata katika moyo wa mtu maji hufanya kazi hizohizo, yanaondoa kiu ya kufanya mambo mauovu (Ufunuo 21:6, Yohana 4:14), ..

Read more