Category : Maswali ya Biblia

Shalom, tusome pamoja katika kitabu cha Isaya 54:16 Isaya 54:16 “Tazama, nimemwumba MHUNZI avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu” Mhunzi au wahunzi wanaozungumziwa hapa ni wanaofua vyuma, fedha, shaba, au Dhahabu. Ikimaanisha wanaviyeyusha vyuma au madini husika katika maumbo mbalimbali kutengeneza silaha au Urembo. Sasa utofauti kati ..

Read more

Bwana Wetu Yesu Kristo na Asifiwe. tusome.. Mwanzo 36:15 “Hawa ndio MAJUMBE wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; JUMBE Temani, JUMBE Omari, JUMBE Sefo, JUMBE Kenazi, 16 JUMBE Kora, JUMBE Gatamu, jumbe Amaleki. Hao ndio MAJUMBE, waliotoka kwa Elifazi katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Ada”. JUMBE ..

Read more

Alani ni mfuko unaovaliwa kiunoni na askari kwa ajili ya kuhifadhi upanga hasa wakati wa vita…. Neno hili tunaliona katika vifungu vifuatavyo…. 1Samweli 17: 51 “Ndipo Daudi akapiga mbio, akasimama juu ya Mfilisti, akautwaa upanga wake, akaufuta alani mwake, akamwua, akamkata kichwa kwa upanga huo. Nao Wafilisti walipoona ya kuwa shujaa wao amekufa, wakakimbia” 1Nyakati ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: tunajifunza habari ya WAKRETE kwamba walikuwa ni WAONGO, na walishuhudiwa na nabii wao! JE? Walidanganya Nini na ni nani basi huyo nabii wao? Jibu: WAKRETE ni Jamii ya watu wanaoishi katika visiwa vya krete huko Ugiriki. Mtume Paulo anaandika waraka kwa Tito dhidi ya kanisa na ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana.  Habari hizi utazipata katika ule utabiri wa Yakobo juu ya watoto wake, alipokuwa akiwabariki, tunaona anapofikia kwa Dani anasema Dani yeye atakuwa BAFE. Sasa JE? Ni nani huyo BAFE? Turejee.. Mwanzo 49:17″ Dani atakuwa nyoka barabarani, BAFE katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Hata apandaye ataanguka chali. 18 ..

Read more

  Nakusalimu katika Jina la Bwana Yesu Kristo. SAKITU ama kwa lugha ya kiingereza “Frost”. Ni barafu iangukayo kutoka juu ifunikayo uso wa ardhi, mimea n.k hasa katika nchi au maeneo yenye baridi Kali. tusome..Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na SAKITU YA MBINGUNI ni nani aliyeizaa? 30 Maji hugandamana kama jiwe, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Warumi 8:34 “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; TENA NDIYE ANAYETUOMBEA.” Ni dhahiri Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Anayetuombea, soma Tena.. 1 Yohana 2:1 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende ..

Read more

Neno Tirshatha katika biblia tunalipata katika vufungu vifuatavyo.. Ezra 2:63 Na huyo Tirshatha akawaambia wasile katika vitu vitakatifu sana ,hata atakaposimama kuhani mwenye urimu na Thumimu. Nehemia 10: 1 Basi hawa ndio waliotia muhuri; Nehemia, ndiye Tirshatha, mwana wa Hakalia, na Sedekia; Hili ni neno lenye asili ya kiajemi, maana yake ni mtawala aliyeteuliwa kuwa ..

Read more