Ni siku nyingine Bwana ametupa tuyatafakari Maneno yake, karibu.. JIBU Ukisoma maandiko kwenye kitabu cha Isaya,utagundua unabii alioutoa nabii isaya kuhusu jina la mkombozi atakayekuja ulimwengu lilikuwa ni Imanueli (Isaya 7:14) kuonyesha kwamba ni lazima litimie hilo, kwasababu maandiko hayawezi kusema uongo.. Lakini tuendelee kusoma zaidi ili tuzidi kujifunza kama wanafunzi wanaotamani kupata uelewa.. Tusome ..
Category : Maswali ya Biblia
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu wetu ambalo ndilo taa yetu.. Hakuna jambo kubwa na la muhimu kama hatma yako ya mwisho ni nini, wengi tumekuwa tukichezea maisha yetu, kwa kufanya tunayoyataka, ila kiuhalisia sivyo Mungu anavyotaka tuwe, kumbuka maisha unayoyaishi leo ndio jawabu la kesho yako jinsi litakavyokuwa, huna budi kujitafakari sana kila wakati ..
Shalom mwana wa Mungu, Wewe kama mwana wa Mungu lazima ufahamu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na ushirika, na ushirika unatokana na kushiriki Katika Mambo fulani, na ili ushirika ule ulete matokeo ni lazima uambukizwe aina ya sifa au tabia ya kile unachoshiriki nacho kwa wakati… Ikiwa kuna ushirika unaleta sifa njema, basi fahamu ..
Bwana Yesu asifiwe, Karibu katika kujifunza Vifungu hivi vitatusaidia kujua jibu kulingana na swali hapo juu Kutoka 14:28 [28]Yale maji yakarudi yakafunikiza magari na wapanda farasi, hata jeshi lote la Farao lililoingia katika bahari nyuma yao; hakusalia hata mtu mmoja. Tusome tena Kutoka 15:19 [19]Kwa maana farasi za Farao na magari yake na wapanda farasi ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, Ulishawahi kujiuliza maana ya hili neno na asili yake ni nini, jehanamu ni neno lenye asili ya kiyunani lenye chimbuko la neno Gehenna ambapo sasa kwa asili ya kiyahudi ni ge-hinnom Lenye maana ya bonde la Mwana wa hinomu, eneo hili lilikuwa kusini mwa Yerusalemu na kujulikana kama ,Toffethi, ..
Bwana Yesu asifiwe Katika Kifungu hiki baadhi ya mafundisho au tafsri mbalimbali za watumishi hualalisha unywaji wa pombe kuwa ni sawa tu kulingana na hiki kifungu, Je jambo hili lina ukweli ndani yake tusome 1Wakorintho 11:21 “kwa maana kila mmoja hutangulia kutwaa chakula chake katika kule kula; hata huyu ana njaa, na huyu AMELEWA. 22 ..
Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa kristo mfalme. Maskini Hutumia maombi pale anapohitaji kazi au jambo fulani.japo wapo matajiri wanaojisongeza mbele za bwana na kujishusha pale wanapokumbana na shida na taabu zinazotawala katika maisha yako huweza kujishusha kwa Mungu na muda mwingine kwa wanadamu pia. Pia wapo matajiri wasioweza kujishusha kwakuwa Wana kiburi, ..
JIBU, Watu wengi wamekuwa na imani hii kwamba kuna uwezakano wa kumtoa mtu kuzimu (kwenye mateso) kwa kumuombea, jambo ambalo halina ukweli wowote kulingana na maandiko, kwasababu kama hilo linawezekana basi pia kuna uwezakano wa kumtoa mwenye haki kwenye paradiso, Kama jambo hilo la kumtoa mwenye haki paradiso haliwezekani basi fahamu kabisa na maombi ..
Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Kuzimu ni sehemu mbaya sana na yenye mateso makali yasiyoelezeka, ni mangojeo ya wale wote waliokufa kwenye dhambi, waliomkataa Bwana Yesu mioyo mwao, sasa wakifa ndipo wanapelekwa kuzimu, ni mahali ambapo hutamani hata adui yako awepo huko kwa hayo mateso yake.. Tunasoma hapa, Marko 9:43 “Na mkono wako ..
Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima ya Mwokozi Wetu Yesu Kristo.. SWALI: Naomba kufahamu, je upo uthibitisho wowote wa mateso ya kuzimu kwa wale watakaokufa Katika dhambi, Hebu tusome.. Luka 16:22 “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. 23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, ..