Wakati Timotheo anaandika nyaraka zake na mtumie Paulo alikuwa wapi?

Maswali ya Biblia No Comments

Shalom.

Wakati Mtume Paulo akiwa kifungoni Rumi ndiyo aliandika waraka wa kwanza na wa pili kwa timotheo.

Naye timotheo wakati anandika waraka alikuwa Efeso kipindi hicho kama Anavyosema mwenyewe Mtume Paulo

1Timotheo 1:3 “Kama vile nilivyokusihi ukae Efeso, nilipokuwa nikisafiri kwenda Makedonia, ili uwakataze wengine wasifundishe elimu nyingine;”

Maranatha.

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea.

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *