Je Biblia ina maananisha nini kusema maneno haya kwa habari ya mitume? Matendo 5:13 “hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao; ila watu waliwaadhimisha; ”JIBU: Tusome mstari huo; Matendo ya Mitume 5:12-16 [12]Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu; nao wote walikuwako kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani; [13]na katika ..
Archives : May-2024
Bwana Yesu asifiwe Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo uzima wa milele Hapo maandiko yaliposema Warumi 3:22 “ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;” Hapa tuzingatie mambo haya hili tuelewe ..
Shalom, Yapo mambo mengi Mwanadamu amekuwa akijiuliza kuhusiana na Mungu lakini mwisho wake ni kutokupata majibu Katika ukamilifu wote, mfano unajiuliza ikiwa Mungu anafahamu jambo ambalo litakwenda kutokea mbele yako na pengine litakusababishia madhara makubwa kwanini asiingilie kati na kunizuia badala yake ananiacha na kudhurika mwisho wake najikuta naenda kuzimu, ni kama Mungu anaonekana hana ..
Mithali 25:23[23]Upepo wa kusi huleta mvua;Vile vile asingiziaye huleta uso wa ghadhabu. Biblia imezungumzia jinsi upepo wa kusi unavyoweza kuleta mvua, na hasemi upepo huleta mvua, bali “upepo wa kusi” akimaanisha kila aina ya upepo ina tabia yake ya kipekee,mfano wa upepo wa kaskazi unaleta joto,na aina nyingine za pepo zina tabia zake… Hii inatufundisha ..
Marko 12:26 “Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, SURA YA KIJITI, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?” jibu: Sura ya kijiti iliyozungumziwa hapo si sura ya mti yaani umbile la mti, au sura ambayo ina pia mdomo ..