Archives : November-2024

Shalom mwana wa Mungu muumbaji wa vyote karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Yerusalemu maana yake ni mji wa amani ambapo ndiyo mahali penye msingi wa Imani yetu. Mji huu wa yerusalemu kabla haujapata sifa hii ya amani ulikuwa ukiitwa mji wa wakanaani kipindi ambacho wayahudi walikuwa hawajaimiliki nchi yao ..

Read more

Nakusalimu kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tena katika kujifunza Neno lake litupalo nuru.. Maana halisi ya neno hilo “kuiaua nchi” ni kuitembelea nchi au kuizuru, mfano mzuri ni kwa watalii pale wanapokuja kwa ajili ya kutalii kutoka katika nchi zao, au wale watu wanaotumwa kwenda kupepeleza nchi fulani, huko ndiko “kuiaua nchi” ..

Read more

Maana ya kalibu ni TANURU, pale mazingira yanaposafishwa mara nyingi zile nyasi au takataka huchukuliwa kisha hupelekwa kuchomwa moto, sasa hicho kitendo cha kuchukua majani na kwenda kuyateketeza katika moto hiyo sehemu ndiyo inaitwa kalibuni yaani “TANURU” Mathayo 6:30 “Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Maandiko yanasema… “1Wakorintho 7:34 “Tena iko tofauti hii kati ya mke na mwanamwali. Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana, apate kuwa mtakatifu mwili na roho. Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mumewe. 35 Nasema ..

Read more