Fumbi ni nini kama ilivyotumika katika biblia?

Maswali ya Biblia, Uncategorized No Comments

Fumbi ni kijito kibibujikacho maji yatokayo katika chemchemi iliyo katika hiyo chamchela.Pia kijito cha Maji ni Mungu mwenyewe kama alivyosema kuwa yeye mti pia ni maji ya uzima yawezayo kukata kitu ya kutenda maovu na maasi mbele za Muumba wetu.

Hivyo unaweza kushuhudia kuwa kabla ya kuokoka mtu alikuwa mlevi au mvutaji wa sigara lakini baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha na kubatizwa kwa mara ya pili yaani ubatizo wa maji mengi kwa msaada wa Mungu na nguvu zake unakuta mtu anabadilika na kuacha kutumia vilevi kabisa.

Pia tusome haya maandiko ili tujifunze zaidi maneno ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo

Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo

Hivyo kwakuwa Yesu Kristo ndiyo maji ya uzima hivyo inatupasa kubatizwa kwa ubatizo wa maji mengi na kumkiri Yesu ya kuwa yeye ni mwokozi wa maisha yetu ili akate kitu mbalimbali za kidunia zinazo wasumbua na kuwatesa watu.

Pia tusome maneno haya ili tupate maana zaidi na tuzijue ili tuweze kuziishi na kutenda yaliyo mema ya kumpendeza Bwana.

Kutoka 20:1-2

[1]Mungu akanena maneno haya yote akasema,

[2]Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Kutoka 20:1-9

[1]Mungu akanena maneno haya yote akasema,

[2]Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

[3]Usiwe na miungu mingine ila mimi.

[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

[7]Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

[8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

[9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

Kutoka 20:10,12

[10]lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

[12]Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

Kutoka 20:10,12-17

[13]Usiue.

[14]Usizini.

[15]Usiibe.

[16]Usimshuhudie jirani yako uongo.

[17]Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

Tukiyaishi na kuyatenda haya kwa uaminifu na kufunga pamoja na kuomba utaona Mungu akibubujika ndani yetu.

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *