Kabla hatujajua maana ya ubatizo,, kwanza fikiria ukiulizwa ‘kuzamisha ni nini’ utajibuje? Naamini utasema ni kitendo cha kutosa kitu chochote ndani ya kimiminika bila kubakiza sehemu yoyote nje. Mfano, meli ikipata ajali na kushuka chini ya bahari basi tutasema meli imezama. Hata mtu akichukua taka na kuzitupa chini ya shimo alochimba basi tunasema kazizamisha ..
Author : magdalena kessy
Shalom.. Je unajua kuwa ubatizo unaweza kuua lakini pia unaweza kuokoa? Kuna jambo kubwa limejificha katika ubatizo lakini kama watu wangelijua jambo hilo bila shaka wangefanya bidii kuutafuta ubatizo. tusome vifungu vifuatavyo 1 Petro 3:20 “watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, ..
Bwana Yesu asifiwe, karibu tujifunze maneno ya Mungu. Tunaweza kujiuliza kuna tofauti gani kati ya ubatizo wa Yohana na ubatizo wa Bwana Yesu lakini ukweli ni kwamba hakuna tofauti yoyote maana ubatizo ni ule ule mmoja wa toba,tofauti inayotokea ni matumizi ya jina la Yesu. Hata kabla Bwana Yesu hajaja duniani watu walikuwa wanasali, ..
Kati ya jambo muhimu ambalo unapaswa kulifahamu kwa undani zaidi ni kuhusu Roho Mtakatifu. Kwasababu Roho Mtakatifu ndio ukamilifu wa sauti ya Mungu kwetu.. Leo kwa neema za Mungu tutaenda kutazama kazi kuu tatu za Roho Mtakatifu katika huu ulimwengu, lakini awali ya yote kabla ya kwenda kuzitazama hizo kazi hebu tuweke msingi kidogo wa ..
Tusome.. 1Wakorintho 12:3 “Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.” Kikawaida kila mtu anaweza kusema “Yesu ni Bwana”, hata walevi, waasherati,wauaji,wachawi, n.k, kwa ujumla mtu yoyote anaweza kusema “Yesu ni Bwana” pasipo kujalisha hali yake, ..
Shalom karibu tujifunze Neno la Mungu.. Leo kwa Neema za Bwana tutaangalia mambo makuu matatu yanayouvuta uwepo wa Roho Mtakatifu karibu yetu Jambo la kwanza: MAOMBI Maombi ni jambo la kwanza linalovuta uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yetu. Tunapokuwa watu wa kuomba mara kwa mara tunamkaribisha Roho Mtakatifu azidi kutusogelea kwa ukaribu na kutusaidia ..
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tujifunze biblia, Kabla hatujaingia ndani kufahamu tofauti iliyopo kati ya “Kipawa na karama” hebu tuutafakari kwanza mfano ufuatao ili tuweze kuelewa; Watu wawili wamepewa zawadi ya magari ya kutembelea, tena yanayofanana, kila mmoja la kwake.. Ila wa kwanza akalitumia lile gari kwa faida yake yeye, yaani kumrahisishia usafiri, na ..
SWALI, Naomba kufahamu sadaka za unga na kinywaji zilitumikaje, na zina ufunuo gani kwa kizazi chetu, JIBU: katika biblia enzi za agano la kale Mungu aliagiza zitolewe sadaka mbali mbali, na ilikuwa ni lazima hizo sadaka zifikishwe madhabahuni pake, maana ili sadaka iitwe sadaka ni lazima ipelekwe madhabahuni. Ikitolewa nje na madhabahu haiwi tena sadaka ..
Malimbuko ni sadaka inayotolewa kwenye kitu cha kwanza kupatikana, au kuzaliwa, au zao la kwanza Katika vitu vyenye uhai kama watoto, wanyama,ndege n.k na vitu visivyo na uhai kama mazao, fedha, n.k, kwa lugha nyingine inajulikana kama “first fruits”…enzi za agano la kale mtoto wa kwanza wa kiume kuzaliwa alitolewa malimbuko kwa Bwana. Tazama ..
Swali: je! Sadaka ya kutikiswa inayoongelewa katika agano la kale ilikuwaje? na je! bado ipo katika agano jipya. Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima libarikiwe daima.. Karibu tujifunze biblia (Neno la Mungu) lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu(Zab119:105) Tukisoma katika Agano la kale Mungu aliamuru zitolewe sadaka mbali mbali, ..