Category : Biblia kwa kina

NAMNA YA KUKATA KIU YA DHAMBI MAISHANI MWAKO. Shalom: Nakusalimu kwa jina lipitalo majina yote jina la Bwana Yesu Kristo mkuu wa Uzima. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Na leo tutaenda kufahamu jinsi ya kukata kiu ya dhambi na kiu ya kila kitu maishani mwetu. Yamkini unatamani kuacha dhambi na unashindwa, unatamani kuacha uzinzi, ..

Read more

MFAHAMU MFALME YOSIA. Shalom: karibu tujifunze biblia kwa kina. Mfalme Yosia ni nani? 2 Wafalme 22:1 “Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi.” Mfalme Yosia ni Moja ya Wafalme 19 waliotawala Yuda, enzi zile za ..

Read more

NA HAPO PATAKUWA NA NJIA KUU Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na NJIA KUU, na njia, NAYO ITAITWA, NJIA YA UTAKATIFU; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; WASAFIRIO, WAJAPOKUWA WAJINGA, HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO”. Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya ..

Read more

CHANZO CHA MATATIZO Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo njia zetu. Biblia inasema “Mjue sana Mungu ili uwe na Amani (Ayubu 22:21)”..Siku zote ukijua sababu ya jambo Fulani basi unapata amani. Amani inakuja baada ya kujua sababu ya jambo Fulani. Leo tutajifunza juu ya ..

Read more

ADUI AKIONA AMESHINDWA ANAKUJA KWA HILA. Si kila wakati ibilisi atakuja kama mpingamizi, au mharibifu, hapana, lengo lake litakuwa ni hilo ndio, lakini akijua hawezi tena kuja moja kwa moja, atakuja kwa ujanja wa kujionyesha ameshindwa wewe una nguvu nyingi, atajiweka chini yako, ajifanye kuwa yeye siku zote ni mnyonge tu.. lakini kumbe ameshakuweza. Ndicho ..

Read more

Je! unakunywa maji kwa namna gani? Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu liwezalo kutupa uzima tele. Tukisoma kitabu cha Waamuzi 7 na ule mstari wa 4, Mungu anamwambia Gideoni.. “BWANA akamwambia Gideoni; Hata sasa watu hawa ni wengi mno; uwalete chini majini, nami nitawajaribu huko kwa ajili yako; kisha itakuwa ya ..

Read more

MTASITA-SITA KATIKATI MAWAZO MAWILI HATA LINI? 1Wafalme 18:20 “Basi, Ahabu akapeleka watu kwa wana wa Israeli wote, akawakusanya manabii pamoja katika mlima wa Karmeli. [21]Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno. Je! ..

Read more

ITHAMINI NEEMA YA WOKOVU Biblia inatuambia.. “…utimizeni wokovu wenu wenyewe kwa KUOGOPA na KUTETEMEKA”.(Wafilisti 2:12) Unajua kwanini tunapaswa kutimiza wokovu wetu kwa kuogopa na kutetemeka? Ni kwasababu, wokovu ni jambo lisilo la kawaida, ni jambo la kushangaza sana. Ukitafakari kwa kina namna ilivyopatikana na jinsi tulivyoipokea..tunabaki tu kushukuru..basi!. Hii neema ya wokovu ambao unapatikana sasa ..

Read more