JE! SI ZAIDI BABA YENU WA MBINGUNI? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima, Karibu tujifunze maandiko. Katika maisha ya kila mmoja wetu, kuna ushuhuda ambao Mungu ameuandika.Bwana ameruhusu kila mtu apitie hatua mbili kuu muhimu maishani mwake nazo ni KUWA MTOTO, NA KUWA MZAZI ( BABA/MAMA) Mungu hakuona vema mtu atokee tu duniani akiwa ..
Category : Biblia kwa kina
WITO WA YONA Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Leo tutajifunza wito wa Mungu kupitia mtu mmoja katika biblia ambaye aliitwa na Mungu, lakini yeye akaamua kujiepusha na sauti ya Mungu akaenda katika njia zake, na huyu ..
UTUFUNGULIE BARABA Luka 23:18 “Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. Ili kuelewa vyema hii habari, tusome tena katika.. Mathayo 27:11 “Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamwuliza, akasema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Yesu akamwambia, Wewe wasema. [12]Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. [13]Ndipo Pilato akamwambia, ..
FUKUZA MAWAZO MABAYA NDANI YAKO Watu wengi wamekuwa watumwa wa zinaa kwasababu ya kukubaliana na mawazo mabaya ya zinaa yanapokuja ndani yao, hivyo wanajikuta kwa nje wanajizuia kuzini lakini kwa mioyo yao wanazini. Ni vizuri kufahamu kuwa hakuna maombi yatakayokusaidia kutoka katika huu utumwa, isipokuwa ni wewe kufukuza/kuondoa na kukataa kabisa uzinzi ndani yako. Biblia ..
JIHADHARI NA HUYU KAHABA ANAYETEMBEA MBELE YA MACHO YAKO. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa neema zake karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! unajua kwanini Mungu anasema “Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.” Mithali 23:26 “Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu. 27 Kwa maana ..
FAHAMU KWA UNDANI KUHUSU JINA LA YESU Nakusalimu katika jina kuu lipitalo majina yote mbinguni na duniani JINA LA YESU KRISTO, karibu tujifunze elimu ya ufalme wa Mungu. Unajua kati ya kitu chenye nguvu kwa mtu ukiacha DAMU ni JINA, mtu mwenye Jina kubwa atakuwa na nguvu nyingi za kiutawala na heshima kuliko mwingine, jina ..
MADHARA YA KIBURI KATIKA MAISHA YA MWAMINI Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakri maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Ikiwa tunatamani kutembea na Yesu na kumuelewa sana kama watakatifu inatupasa kuwa ni wanyeyekevu, watu tusio na kiburi(kujiinua) tofauti na watu wanavyofikiri kwamba kiburi ni muonekano wa nje jinsi alivyo. ..
WENYEJI WETU UKO MBINGUNI. Shalom mtu wa Mungu, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo hilo ndilo linalotufanya tuishi mpaka sasa hivi mimi na wewe. Wafilipi 3:20 “Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo; [21]atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ..
JIHADHARI NA MBWA!! Wafilipi 3:2 “Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao”. Mbwa wanaozungumziwa hapo sio wanyama, ni aina ya watu wenye tabia kama ya mbwa. Tabia mojawapo chafu waliyonayo mbwa ni umalaya, utaona mbwa mmoja anakatiza njiani anatembea na mbwa kumi wakifanya kile kitendo hadharani kabisa wala hawana cha kuogopa. Hiyo ..
MOABU AMESTAREHE TANGU UJANA WAKE. Yeremia 48:11 “Moabu amestarehe tangu ujana wake, naye ametulia juu ya sira zake, wala hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine, wala hakwenda kufungwa; kwa hiyo ladha yake anakaa nayo, wala harufu yake haikubadilika. [12]Basi, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo nitampelekea wamiminao, nao watammimina, nao watamwaga vyote vilivyomo vyomboni ..