Category : Biblia kwa kina

JE UMEFUNDISHWA KUPENDANA? Neno la Mungu linasema.. 1 Wathesalonike 4:9 “Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. Upendo ni jambo ambalo linahitaji darasa, sio kitu kinachotokea tu mara moja baada ya kuokoka. Baada ya kuokoka.. Roho Mtakatifu anaanza kukupitisha kwenye hili darasa la upendo, atakuletea wale watu usiowapenda..waje ..

Read more

JE WAJUA KUWA MWILI WAKO NI HEKALU LA MUNGU? Yohana 2:19 “Yesu akajibu, akawaambia, Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha. [20]Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu? [21] LAKINI YEYE ALINENA HABARI ZA HEKALU LA MWILI WAKE”. Hapa Bwana Yesu alinena mwili ..

Read more

UHAI WETU UMEFICHWA PAMOJA NA KRISTO. Wakolosai 3:3 Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. [4]Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu”. Jina la YESU KRISTO libarikiwe daima, karibu tujifunze Neno la Mungu taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Mtu anapotii ..

Read more

KIMBIENI KUTOKA KATI YA BABELI. Isaya 48:20 “Haya, tokeni katika Babeli, Kimbieni kutoka kwa Wakaldayo; Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, semeni, BWANA amemkomboa mtumishi wake, Yakobo. Tukisoma kitabu cha Danieli tunaona kuna habari ya mfalme mmoja aliyeitwa Nebukadreza, huyu alikuwa ni mfalme katika dola ya Babeli ambayo ilikuwa ..

Read more

BALI, YEYE ASIYEJIZUIA NAFSI YAKE AMEKUFA INGAWA YU HAI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima, Karibu tusikie injili ya Kristo iletayo wokovu wa roho zetu. Neno la Mungu linasema katika..Timotheo 5:6 “Bali, yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai”. Ikiwa kila kitu unakiruhusu kiingie ndani ya nafsi yako, kila kitu unakitamani, kila kitu ..

Read more

KAZI YAKO NI KAZI GANI? Shalom karibu tujifunze biblia. Tukisoma ile habari ya Yona, kama wengi tunavyojua Yona alitumwa na Mungu kwenda kuhubiri katika mji ule wa Ninawi uliokuwa mji mkuu wa Taifa la ASHURU ambao ni maeneo ya Iran na Iraq kwa sasa.Lakini tunasoma habari haikuwa hivyo kwa nabii YONA, badala ya kwenda NINAWI ..

Read more

YESU MCHUNGAJI MWEMA  Yohana 10:11-16 “Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. [12]Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. [13]Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu ..

Read more

EE BABA IBRAHIMU, NIHURUMIE, UMTUME LAZARO ACHOVYE NCHA YA KIDOLE CHAKE MAJINI, AUBURUDISHE ULIMI WANGU. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Bwana Yesu aliutoa mfano mmoja kutuonyesha maisha halisi yanayofuata baada kifo, alisema katika.. Luka 16:19 “Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ..

Read more

MARTHA, MARTHA UNASUMBUKA NA KUFADHAIKA NA VITU VINGI. (Fahamu ni nini Bwana anahitaji kwako leo) Shalom karibu tujifunze Neno la Mungu!. tunajifunza kwa sehemu maisha ya Yesu Kristo, ambayo ni muhimu sana kwetu sisi, kwasababu ni tiba ya mambo mengi. Tunasoma Bwana wetu Yesu Kristo alikuwa akizunguka mahali na mahali, kuhubiri injili, kwa marika yote ..

Read more