Category : Biblia kwa kina

Huu sio wakati utupasao kuja! Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Mara nyingi watu wengi wanapoangalia mazingira Fulani, wanaona kama vile wakati wake bado, pale mtu unapomuambia biblia inasema “saa ya wokovu ni ..

Read more

IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI 1Samweli 20:3 “Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI”. Ujumbe huu unakuhusu wewe ambaye ..

Read more

Nini maana ya kuhesabiwa haki kwa imani? Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama Wakristo ni Muhimu sana kuelewa jambo hili sio katika akili zetu tu basi likawa kama taarifa fulani tu ambayo tunaifahamu maandiko yanasema hivyo lakini jambo hili ni msingi dhabiti sana ..

Read more

TU UZAO WA IBRAHIMU Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi TU UZAO WAKE IBRAHIMU, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?.” Je! we ni mzao wa Ibrahimu? Uzao wa Ibrahimu ni upi? Uzao wa Ibrahimu ni uzao wa YESU KRISTO, kulingana na kuwa Yesu Kristo ndiye aliyebeba ahadi za Mungu kwa Ibrahimu. ..

Read more

TU WASAFIRI HAPA DUNIANI. 1Mambo ya Nyakati 29:15 “Kwani sisi tu wageni mbele zako, NA WASAFIRI, KAMA WALIVYOKUWA BABA ZETU WOTE; ni kama kivuli siku zetu duniani, wala taraji ya kukaa hapana”. Mtu yeyote anayejiita ni mkristo ni wazi kuwa yupo safarini, Na kama yupo safarini ni lazima afahamu malengo yake ni nini, kwamba anatoka ..

Read more

Usiwe miongoni mwa makutano wanaofuata Yesu. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Kipindi Bwana wetu Yesu alipokuwa hapa duniani, kulikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa wakimfuata, hawa walikuwa tu wanakusanyika kusikiliza mahubiri ya Bwana Yesu ambao mara zote Bwana alikuwa anazungumza nao kwa mifano, na kuwaponya magonjwa yao..baada ya hapo walikuwa wanarejea katika shughuli ..

Read more