Category : Biblia kwa kina

Madhara ya kuabudu Sanamu. Sanamu ni kitu chochote kile kinachotengenezwa chenye umbile aidha la malaika wa mbinguni, mwanadamu, mnyama, au mimea…Mwanadamu yoyote anayetengeneza kitu chochote chenye mifano ya hivyo vitu tayari kashatengeneza sanamu. Moja ya amri 10 Mungu alizowapa wana wa Israeli, ilikuwa ni pamoja na kujiepusha na ibada za sanamu za aina yoyote.. Amri ..

Read more

SANAMU ZINAZOTEMBEA Je! Unafahamu kuwa kuna sanamu zinazotembea? (Zizungumzii yale maroboti yanayoendeshwa kwa umeme). Kwa kawaida sanamu yoyote haiwezi kutembea wala kufanya jambo lolote kwasababu haina uhai ndani yake, ni kama jiwe tu. Kweli inaweza kuwa na miguu mizuri lakini haitembei, inaweza kuwa na mikono lakini haishiki, inaweza kuwa na macho mazuri lakini hayaoni, na ..

Read more

NAMNA YA KUKATA KIU YA DHAMBI MAISHANI MWAKO. Shalom: Nakusalimu kwa jina lipitalo majina yote jina la Bwana Yesu Kristo mkuu wa Uzima. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Na leo tutaenda kufahamu jinsi ya kukata kiu ya dhambi na kiu ya kila kitu maishani mwetu. Yamkini unatamani kuacha dhambi na unashindwa, unatamani kuacha uzinzi, ..

Read more

MFAHAMU MFALME YOSIA. Shalom: karibu tujifunze biblia kwa kina. Mfalme Yosia ni nani? 2 Wafalme 22:1 “Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi.” Mfalme Yosia ni Moja ya Wafalme 19 waliotawala Yuda, enzi zile za ..

Read more

NA HAPO PATAKUWA NA NJIA KUU Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na NJIA KUU, na njia, NAYO ITAITWA, NJIA YA UTAKATIFU; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; WASAFIRIO, WAJAPOKUWA WAJINGA, HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO”. Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya ..

Read more

CHANZO CHA MATATIZO Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo njia zetu. Biblia inasema “Mjue sana Mungu ili uwe na Amani (Ayubu 22:21)”..Siku zote ukijua sababu ya jambo Fulani basi unapata amani. Amani inakuja baada ya kujua sababu ya jambo Fulani. Leo tutajifunza juu ya ..

Read more

ADUI AKIONA AMESHINDWA ANAKUJA KWA HILA. Si kila wakati ibilisi atakuja kama mpingamizi, au mharibifu, hapana, lengo lake litakuwa ni hilo ndio, lakini akijua hawezi tena kuja moja kwa moja, atakuja kwa ujanja wa kujionyesha ameshindwa wewe una nguvu nyingi, atajiweka chini yako, ajifanye kuwa yeye siku zote ni mnyonge tu.. lakini kumbe ameshakuweza. Ndicho ..

Read more

Je! unakunywa maji kwa namna gani? Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu liwezalo kutupa uzima tele. Tukisoma kitabu cha Waamuzi 7 na ule mstari wa 4, Mungu anamwambia Gideoni.. “BWANA akamwambia Gideoni; Hata sasa watu hawa ni wengi mno; uwalete chini majini, nami nitawajaribu huko kwa ajili yako; kisha itakuwa ya ..

Read more