Category : Maswali ya Biblia

Shalom,karibu tujifunze Neno la Mungu Mtakatifu Ritta ambaye kwa kanisa katoliki anajulikana kama mwombezi wa mambo yasiyowezekana, mfanya miujiza.. Mama huyu alizaliwa 1381 Katika mji unaoitwa kashia kwenye taifa la Italy, mama huyu aliolewa akiwa mwenye umri mdogo, lakini alikuja kufiwa na mume wake na Watoto wake wawili ndipo akajiunga na utawa, ingawaje alipitia changamoto ..

Read more

Shalom! jina la Bwana wetu yesu kristo lipewe sifa karibu mwana wa Mungu tujifunze maneno ya uzima. Tunaweza kusoma kitabu hiki hapa chini. Ayubu 1:14 “Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Moto wa Mungu umeanguka kutoka mbinguni na kuwateketeza kondoo, na wale watumishi, na kuwaangamiza; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea ..

Read more

  Nakusalimu katika jina tukufu, Jina la Bwana wetu YESU KRISTO. Mkuu wa uzima. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Katika agano la kale, Mungu alimwagiza Musa ajenge Hema iwe mahali pa Mungu kushuka na kusema na wana wa Israeli(Kutoka 25:1-9) hema hiyo ambayo iliitwa hema la kukutania ilikuwa ni ya kuhama hama kulingana na safari ..

Read more

Shalom, karibu katika kuyatafakari maneno ya Me mgu yatupayo uzima ndani yetu.. Kulingana na kichwa cha somo tusome Yakobo 4:9 “Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu”. Si kwamba haturuhusiwi kufurahi au kushangilia, pale jambo jema linapotokea, mfano ulikuwa na ndugu yako ambaye tabia zake hazikuwa ..

Read more

Bwana apewe sifa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Shubaka ni dirisha lililojengwa kwa kupishanisha vipande vya mbao au chuma au kitu kingine kama pazia katikati ya dirisha Hilo. Ujenzi wa madirisha hayo haupo kama wa kisasa kwakuwa madirisha ya Sasa yapo wazi sana yaani hauwezi kuona kitu chochote kimekatiza ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana Mungu wetu.tunaweza kusoma maandiko kutoka. Mhubiri 7:29 “Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi”. Mungu alipomuumba mwanadamu alimuumba katika ukamilifu wote kama kwa Adam na Hawa aliwaumba katika ukamilifu wa Furaha, Amani, Upendo na kumcha Mungu. Lakini ulifika wakati hawakuridhika ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima toka kwa kristo mfalme. Hakuna andiko linalosema na kuthibitisha kuwa mbinguni ni sehemu ya kuimba tu bali Bwana wetu yesu kristo alisema anaenda kutuandalia makao kama neno linavyosema. Yohana 14:1 “Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ..

Read more