Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe. Epafrodito alikuwa ni miongoni mwa watendakazi wa makanisa ya huko filipi, na alijulikana kama Mhudumu wa mahitaji ya Mtume Paulo. tunaona ni upendo mkubwa kiasi gani kanisa la filipi linaonesha kwa mtume Paulo alipokuwa Rumi kifungoni. Lilimkumbuka kwa mahitaji Yake ya kifedha, Sasa ndipo anachaguliwa huyu epafrodito ..
Category : Maswali ya Biblia
Shalom. Karibu tuyatafakari Maneno ya Uzima Zaburi 48:14 [14]”Kwa maana ndivyo alivyo MUNGU, Mungu wetu. Milele na milele Yeye ndiye atakayetuongoza.” Tunaona mwandishi akijivunia sifa ya Mungu wao wa milele. Kwamba ndiye atakayewaongoza katika Mambo yote kwa njia sahihi na ya uzima, njia sahihi ya kupanda, kupigana vita na kujenga lakini kubwa zaidi ni kwamba ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Kitabu Cha filemoni ni miongoni mwa nyaraka zilizoandikwa na Mtume Paulo huko kifungoni Rumi. Waraka huu Paulo aliuandika kwa filemoni mtu aliyegeuzwa na injili yake mtume Paulo. Baadaye filemoni anakuwa mtumishi wa Bwana katika nyumba yake mwenyewe, na kufanyika baraka kwa watakatifu katika kanisa la kolosai Filemoni ..
Bwana Yesu na Asifiwe. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Tunajifunza nini katika neno hilo ? Jibu tunalipata Zaburi 69:8 “Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na msikwao kwa wana wa mama yangu”. Msikwao ni mgeni kutoka nchi nyingine {Stranger in English}. Mtu kutoka taifa jingine na kwenda taifa jingine lisilo lake ndio anaitwa msikwao. Hivyo anaposema ..
JIBU 1,Wokovu Hakuna namna utamshinda shetani ukiwa nje ya wokovu, kwasababu hata Wana wa Skewa hawakuweza kutoa pepo kwa jina la Yesu kwa sababu hata hao pepo waliwambia Yesu wanamjua na Paulo ,je ninyi ni akina nani? Matendo 19:13 Baadhi ya Wayahudi wenye kutanga-tanga, nao ni wapunga pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu ..
Shalom karibu tujifunze neno la Mungu. Agano la chumvi ni Agano Gani kama inavyotumika katika 2Nyakati 13:5, Turejee.. 2Nyakati 13:5 “Je! Haikuwapasa kujua ya kwamba Bwana, Mungu wa Israeli, alimpa Daudi ufalme juu ya Israeli milele, yeye na wanawe kwa AGANO LA CHUMVI” Neno hili linaonekana mara tatu katika Biblia Hesabu 18:19, 2Nyakati 13:5 na ..
JIBU, tusome… 1 Timotheo 1:8-10 [8]Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali; [9]akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji, [10]na ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Wagerasi ni watu waliokuwa wakiishi katika mji wa Gerasi, Kusini mashariki mwa Bahari ya galilaya. Ilikuwa ni moja ya nchi ya Dekapoli iliyokuwa ya watu mataifa. Tunaona ni kule Yesu aliko kutana na aliyekuwa na kichaa kikali akamponya.. Marko 5:1-3 [1]Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe. Turejee jibu kutoka 5:14-16 “Na WANYAPARA wa wana wa Israeli, ambao wasimamizi wa Farao wamewaweka juu yao, wakapigwa, wakiambiwa, Kwa nini hamkutimiza kazi yenu jana na leo; kwa kufanya matofali kama hapo kwanza? 15 Basi WANYAPARA wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, ..
Shalom. Kaini anapewa hukumu baada ya kumwua Nduguye habili Mwanzo 4: 9 “Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? 10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi. 11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ..