Category : Maswali ya Biblia

Bwana Yesu Kristo Asifiwe. Nikukaribishe tujifunze maneno ya Uzima JIBU: Hosea 12:7“NI MCHUUZI, mizani ya udanganyifu i mkononi mwake; anapenda kudhulumu .” Mchuuzi ni mtu anayejishughulisha na ununuaji wa bidhaa na kuzisafirisha kuziuza sehemu nyingine hususani nje ya nchi yake. Unaweza kupitia tena, utalipata katika Wimbo ulio Bora 3:6, Ezekiel 27:3, 27:20-22 pamoja na Isaya ..

Read more

JIBU, 1Wakorintho 1:25 “Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu’’ Unaweza ukawa umeshajiuliza haya maswali, Je Mungu ni mpumbavu? Mungu wetu ana udhaifu? Mtu yoyote aliyeumbwa ma Mungu akapewa akili na uwezo wa kutambua mambo mbalimbali ambayo Mungu amefanya kama vile kuumba sayari, ..

Read more

Jina la bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko  Warumi 13:14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa japo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, Naam hatimae kuziwasha tamaa zake. Mtu anapofikia hatua hii kuwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa kila ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima Swala la kuokoka peke yake halitoshi mbele za Mungu, kuna ngazi 7 ambazo ni lazima mtu wa Mungu azipande ili Mungu auone ukamilifu wako unapokuwa hapa duniani. Inatakiwa tuende mbele zaidi ya kuokoka na kubatizwa hatutakiwi tubaki hapo kwa sababu hatutakuwa na ushuhuda wowote na pengine tukafa kiroho. Mtume ..

Read more

Shalom Wapendwa. Karibu Tujifunze Maandiko matakatifu Kumekuwa na maswali mengi sana miongoni mwa wakristo {Mkristro ni mtu aliyegeuka na kudhamiria kwa gharama zozote kujitwika msalaba wake na kumfuata kristo Yesu}. Wanajikuta wana maswali mengi sana yakosayo majibu. Akisema nimempa Yesu maisha yangu na hakika nimepata furaha kubwa ya kiMungu ndani yangu, lakini vipi kuhusu nje! ..

Read more