Category : Maswali ya Biblia

Je dia ni nini kibiblia Maana ya neno dia, kwa maana nyingine linatafsirika kama “fidia” tusome kifungu hicho hili tuelewe vizuri nini maana halisi ya neno hilo Mithali 13:8 “Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake; Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote”. Kwahiyo hapo tunaweza kusema “faida ya nafsi ya mtu ni utajiri ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Turejee maneno ya Bwana kutoka katika kitabu hiki ili tuelewe zaidi neno linasema. 2Wakorintho 7:2 “Tupeni nafasi mioyoni mwenu. Hatukumdhulumu mtu ye yote, wala kumharibu mtu, wala kumkaramkia mtu. 3 Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia ..

Read more

  Shalom mtu wa Mungu.Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Ayabu 1:6 “Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao. 7 BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, NATOKA KATIKA KUZUNGUKA-ZUNGUKA DUNIANI, NA KATIKA KUTEMBEA HUKU NA ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu muumbaji wa vyote karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Yerusalemu maana yake ni mji wa amani ambapo ndiyo mahali penye msingi wa Imani yetu. Mji huu wa yerusalemu kabla haujapata sifa hii ya amani ulikuwa ukiitwa mji wa wakanaani kipindi ambacho wayahudi walikuwa hawajaimiliki nchi yao ..

Read more

Nakusalimu kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tena katika kujifunza Neno lake litupalo nuru.. Maana halisi ya neno hilo “kuiaua nchi” ni kuitembelea nchi au kuizuru, mfano mzuri ni kwa watalii pale wanapokuja kwa ajili ya kutalii kutoka katika nchi zao, au wale watu wanaotumwa kwenda kupepeleza nchi fulani, huko ndiko “kuiaua nchi” ..

Read more

Maana ya kalibu ni TANURU, pale mazingira yanaposafishwa mara nyingi zile nyasi au takataka huchukuliwa kisha hupelekwa kuchomwa moto, sasa hicho kitendo cha kuchukua majani na kwenda kuyateketeza katika moto hiyo sehemu ndiyo inaitwa kalibuni yaani “TANURU” Mathayo 6:30 “Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi ..

Read more