Jibu: Tusome, Yodi ni neno lililotumika katika lugha ya Kiswahili cha zamani, lenye maana ya “herufi ndogo”.Kwa lugha ya kingereza ni small letter”.ndani ya sentensi yoyote kunakuwa na herufi kubwa na ndogo.. Zile ndogo huwa ndo Yodi…. Mfano mzuri tunaposema Yesu ni Mungu, Herufi kubwa hapo ni hiyo “Y” na “M” lakini hizo nyingine zote zilizosalia ..
Category : Mitihani ya Biblia
Neno kujuzu maana yake ni “kutoruhusiwa”. Tusome2Wakorintho 12:2 “ Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu 3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya ..
Hirimu ni nini sawa sawa na andiko la (wagalatia 1:14) Hirimu inamaanisha mtu aliye katika kundi la umri wako yaani rika lakoMfano tunaposema Yohana na Petro ni hirimu moja, tunamaanisha Petro na Yohana ni watu mwenye rika moja (umri mmoja) Lakini kibiblia neno hili hirimu linatafsirika kwa kina zaidi, maana mahali pengine linamaanisha kijana mdogo. ..