je ni sawa kutoa cheti cha ndoa?

Maswali ya Biblia No Comments

Jibu: ndiyo ni halali kabisa kutoa cheti kwa watu walioana, kwa sababu ukiachana kutoa viapo vyao, ni lazima pia wawe na ushahidi kuwa kweli wamekubaliana kuwa kitu kimoja

Zaidi sana inasaidia hata ikitokea shida naona yao inakuwa vyepesi kutatulika kwa sababu uthibitisho upo ndiyo maana kuna umuhimu mkubwa sana, wa wanandoa kufata taratibu zote kabla hawajaanza kuishi pamoja.

Kwanini Leo wajane hawapati haki zao pale wanapondokewa na wenza wao, sababu ni hii hakuna uthibitisho wowote, na zaidi pia kuishi bila mchungaji wako kuidhinisha aua wazazi wako ni makosa makubwa sana mbele za watu na MUNGU

Kiroho pia mtu anapomwamini YESU na kubatizwa Moja kwa Moja anakuwa amefunga ndoa mbinguni na cheti chake ni jina lake kuandikwa katika kitabu cha uzima wa milele, hicho ndiyo cheti cha kimbingu ambacho kinamtambulisha mtu, Dunia inakapoisha ndicho kitakuwa cheti cha kuingia mbinguni..

Je una cheti mbinguni ikiwa Bado basi Leo tafuta cheti

Ubarikiwe

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *