MIIMO ni nguzo mbili za mlango upande wa kulia na wa kushoto wa mlango, kama tunavyosoma katika kisa cha Samsoni akichomoa malango ya Wafilisti. Unaweza somo vifungu hivi, Kumbukumbu la Torati 6:9, 1 Wafalme 6:33, na Isaya 57:8. Waamuzi 16:3 “Basi Samsoni akalala hata usiku wa manane, akaondoka katikati ya usiku, akaishika milango ya lango ..
Archives : April-2024
Masihi ni neno ambalo asili yake ni neno la kiebrania, linalomaanisha MPAKWA MAFUTA. au Mtu aliyeteuliwa na Mungu Kwa kusudi fulani alijukikana kama masihi. Katika kipindi cha agano la kale watu ambao Mungu aliwateuwa kuwa wafalme au manabii walijulikana kama Masihi, yaani wapakwa mafuta wa Bwana Maana nyingine masihi inamaanisha Kristo, kwahiyo basi MPAKWA MAFUTA, ..
Jibu… Behewa ni sehemu iliyo wazi ambayo imezungushiwa fensi mbele ya Hema ya kukutania, ilitumiwa na makuhani kama eneo la kutoa sadaka za kuteketezwa na shughuli mbalimbali za kikuhani, unaweza ukatazama picha iliyopo juu, na kwa jina lingine inafahamika kama UA. Katika kipindi cha Mfalme Suleimani pale Yerusalemu sehemu ya ua/behewa palizingushiwa ukuta, pakawa na ..
Neno IKABODI tafsiri yake ni “Utukufu umeondoka” Jina hili alipewa mtoto wa Finehasi na mke wake wakati anajifungua, baada ya kupata taarifa mumewe amekufa katika vita, pia sanduku la agano limechukuliwa na wafilisti na yeye mkewe wa Finehasi anakaribia kufa ndipo akampa mtoto huyo jina la IKABODI, akiwa na maana utufuku wa Mungu umeondoka katika ..