Archives : July-2024

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo  Maana ya kuota ukiwa unapigana kunaweza kubeba maana mbili aidha upo katika mashindano au upo katika vita! Tuziangalie maana hizi mbili kwa ufupi  1. KUWA KATIKA MASHINDANO Mashindano huja kwa Hali Ambayo watu wanapogombania kitu chenye THAMANI Fulani ambapo Kila mtu anataka akipate yeye, kunaweza kuwa thawabu, ..

Read more

Bwana Yesu Kristo Asifiwe  Kuna makundi makuu matatu ya ndoto, Kwa ufupi kidogo tutayaangalia {1} Ndoto zinazotokana na Shughuli (muhubiri 5:3)  Hizi ni za mara kwa mara, kwa mfano mtu amefanya Shughuli Fulani kutwa nzima, Sasa anapolala anajikuta anaendelea kuifanya kazi Ile hata ndotoni. Aina hii hailetwi na Mungu Wala Shetani Bali na mwili. Hii ..

Read more

Shalom. Karibu tujifunze maneno ya Uzima Kumekuwa na udanganyifu mkubwa Leo kwamba ndoto zina tiba! Mpendwa mtu anayekuambia, kama umeota ndoto Fulani basi uende kwake akupe dawa labda umekutana na jini, umefanya uasherati na usiyemjua, umetumbukia shimoni n.k Huo ni ushirikina na ni Utapeli mkubwa!. Ndoto au maono hutoka ndani ya mtu hivyo ni mambo ..

Read more

JIBU, 1Wakorintho 1:25 “Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu’’ Unaweza ukawa umeshajiuliza haya maswali, Je Mungu ni mpumbavu? Mungu wetu ana udhaifu? Mtu yoyote aliyeumbwa ma Mungu akapewa akili na uwezo wa kutambua mambo mbalimbali ambayo Mungu amefanya kama vile kuumba sayari, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Kwanza kabisa  mara nyingi ndoto kama  hizi wakati mwingine huwa zinakuja kwa  namna  ya kupambana na Hali fulani ukitumia jina la Yesu Ambapo mwanzoni huwa na upinzani Fulani lakini baadaye inaachia yenyewe kadri uzidivyo kuomba Basi mpendwa huo ni ujumbe kutoka kwa Mungu Mfano, Mtu anaota anapambana ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Iko hatari kubwa sana katika nyakati hizi za Mwisho na kama tusipokuwa makini tutajikuta tunafanya kazi ya kuchosha. Na kwasababu ya upofu tukaona ni kawaida tu. Wakristo wengi sana wanavitwaa viungo vya Kristo na kuvifanya kuwa vya kahaba(kuviungamanisha ..

Read more

Jina la bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko  Warumi 13:14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa japo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, Naam hatimae kuziwasha tamaa zake. Mtu anapofikia hatua hii kuwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa kila ..

Read more