Archives : August-2024

  Nini maana ya kusali kwa kupayuka payuka? Shalom Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo kwa njia ya swali hili. Maandiko Matakatifu yanatwambia… Mhubiri 5:2 “….. kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo MANENO YAKO na yawe MACHACHE.” Sasa ..

Read more

  Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe sana. Mpendwa mwenzetu anauliza JE ni sahihi kwenda kutubia dhambi zako kwa kiongozi wa dini mfano padre, kama ilivyoandikwa katika (Yohana 20:23) ? Jibu: kwanza turejee mstari husika.. Yohana 20:23 ” Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa.” Tuongezee.. 18 “Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, ..

Read more

  SWALI.. Kwa nini Mungu aliikataa sadaka ya mazao kutoka kwa kaini na akaikubali sadaka ya wanyama kutoka kwa Habili? Je wanyama ni bora kuliko mazao mbele za Mungu? JIBU..Tusome Mwanzo 4:4 “Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake; 5 bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. ..

Read more

  SWALI…Kwa nini tunatoa sadaka? Kuna muhimu gani wa kutoa sadaka? Je ni dhambi usipotoa sadaka? JIBU..Kutoa ni wajibu wa kila mtu aliyemwamini Kristo iwe ni kutoa sadaka au kitu kingine chochote. Mtu asiyetoa bado hajabadilishwa moyo wake na maisha yake yapo mbali na Mungu.   Sisi tunatoa sadaka kwa sababu hata tulivyonavyo tumepewa na ..

Read more

  Bwana Yesu Kristo asifiwe, karibu tujifunze maandiko Matakatifu ili tuzidi kumjua Mungu wetu katika kila namna.. ingali bado tunapumua. Siku ya leo tutaenda kujifunza umuhimu wa kumtolea Mungu sadaka isiyo na kasoro yoyote.. Upo umuhimu mkubwa sana wa kumtolea Mungu vitu vyenye hadhi ya hali ya juu ambavyo vinamgharimu mtu hadi kuvitoa. Tusitoe tu ..

Read more

  SWALI, Bwana Yesu alimaanisha nini aliposema “Utoapo sadaka mkono wako wa kulia usijue ufanyalo mkono wako wa kushoto” JIBU, Hebu tusome kwanza hiyo habari katika kitabu cha Mathayo 6:1-4 Mathayo 6:1“ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. ..

Read more