Archives : October-2024

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Liko jambo kubwa sana kujifunza kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu Kristo. Tomaso hakuwa na tabia ya wizi,au usaliti Kama ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote lakini iko tabia ambayo alikuwa nayo tofauti kidogo na wenzake. Lakini pia Tomaso alikuwa lazi hata kufa pamoja na Bwana Yesu ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana Yesu. Tusome maandiko haya. 1Petro 1:13 “Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu”. Popote inapozungumziwa katika ..

Read more

Shalom. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tukisoma katika kitabu cha ufunuo katika sehemu tofauti tofauti/sura neno hili limejirudia rudia zaidi ya mara 2. Ufunuo wa Yohana 2:17 “YEYE ALIYE NA SIKIO, NA ASIKIE neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa……” Lakini ukisoma tena.. Ufunuo wa Yohana 2 7 YEYE ALIYE NA SIKIO, na alisikie neno ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu yesu kristo. Filipo mhubiri wa injili aliagizwa na malaika wa Bwana aende njia ya jangwani ( Gaza) alipokuwa akielekea huko njiani alikutana na mkushi ( towashi) ili akamhubiria  injili na siku hiyo akabatizwa na kupelekwa eneo lingine.tukisoma maneno ya uzima yanasema. Matendo 8:26 “Malaika wa ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu katika kujifunza Neno la Mungu litupalo uzima wa maisha yetu Ukisoma katika, Luka 6:37 “Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa”. Hapa tunaona neno la Mungu linatuqgiza kwa Habari ya kutokuhukumu Wala kulaumu, sasa je ni dhambi au makosa kumwambia mtu ukweli unapoona amefanya jambo isivyo stahili. ..

Read more

Tunachopaswa kufahamu ni kuwa “Mungu ni BABA wa kila kitu hapa duniani na mbinguni pia, ndiyo maana Paulo akasema maneno haya Waefeso 3:14 “Kwa hiyo nampigia Baba magoti, 15 ambaye kwa jina lake UBABA WOTE WA MBINGUNI NA WA DUNIANI UNAITWA”, Kama ilivyo wajibu wa baba wa kimwili ulivyo katika familia yake, jinsi anavyojali, navyohudumia, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Ziko ibada kuu tatu ambazo watu wengi sana katika nyakati hizi za Mwisho watu wanaziabudu pasipo hata kufahamu. Maana ibilisi amewafumba macho wasiweze kutambua. Tutazianisha hapa na kuzitazama kwa undani zaidi kwa neema za Bwana. SANAMU ZILIZOCHONGWA KWA MFANO WA MTU. 2.SANAMU-WATU. 3.SANAMU-VITU. Aina kuu hizi tatu ..

Read more