Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mithali 10:25“Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele.” Kisulisuli kwa jina lingine tunaweza kusema ni kimbunga. Ni upepo ambao huwa unajikusanya sehemu moja na kutengeneza kitu mfano wa nguzo kwenda juu. Sasa ili tuweze kupata maana vizuri katika mstari ..
Archives : October-2024
Shalom! jina la Bwana wetu yesu kristo lipewe sifa karibu mwana wa Mungu tujifunze maneno ya uzima. Tunaweza kusoma kitabu hiki hapa chini. Ayubu 1:14 “Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Moto wa Mungu umeanguka kutoka mbinguni na kuwateketeza kondoo, na wale watumishi, na kuwaangamiza; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea ..
Nakusalimu katika jina tukufu, Jina la Bwana wetu YESU KRISTO. Mkuu wa uzima. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Katika agano la kale, Mungu alimwagiza Musa ajenge Hema iwe mahali pa Mungu kushuka na kusema na wana wa Israeli(Kutoka 25:1-9) hema hiyo ambayo iliitwa hema la kukutania ilikuwa ni ya kuhama hama kulingana na safari ..
Shalom, karibu katika kuyatafakari maneno ya Me mgu yatupayo uzima ndani yetu.. Kulingana na kichwa cha somo tusome Yakobo 4:9 “Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu”. Si kwamba haturuhusiwi kufurahi au kushangilia, pale jambo jema linapotokea, mfano ulikuwa na ndugu yako ambaye tabia zake hazikuwa ..
Bwana apewe sifa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Shubaka ni dirisha lililojengwa kwa kupishanisha vipande vya mbao au chuma au kitu kingine kama pazia katikati ya dirisha Hilo. Ujenzi wa madirisha hayo haupo kama wa kisasa kwakuwa madirisha ya Sasa yapo wazi sana yaani hauwezi kuona kitu chochote kimekatiza ..
Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana Mungu wetu.tunaweza kusoma maandiko kutoka. Mhubiri 7:29 “Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi”. Mungu alipomuumba mwanadamu alimuumba katika ukamilifu wote kama kwa Adam na Hawa aliwaumba katika ukamilifu wa Furaha, Amani, Upendo na kumcha Mungu. Lakini ulifika wakati hawakuridhika ..
Shalom mpendwa katika kristo karibu tujifunze maneno ya uzima Toka kwa Bwana wetu yesu kristo. Kama mtu atamkataa Mungu na ghafla akafa katika dhambi zake kwa kifo Cha aina yeyote iwe kuuawa, kupewa sumu n.k mtu huyo atazibeba dhambi zake mwenyewe na kwenda nazo anakostahili kwenda nazo Bali yule muuaji ataibeba dhambi ya uuaji na ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Pale tunapookoka na kumpokea Roho Mtakatifu ndani yetu. Sasa Roho Mtakatifu ndani yetu anafanya kazi nyingi zaidi ndani yetu na tunaposoma maandiko yanasema ni MSAIDIZI. Maaana yake anatusaidia pale tusipoweza anasimama nafasi hiyo katika kutukamilisha. Kabla ya kwenda katika kiini ..
Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima toka kwa kristo mfalme. Hakuna andiko linalosema na kuthibitisha kuwa mbinguni ni sehemu ya kuimba tu bali Bwana wetu yesu kristo alisema anaenda kutuandalia makao kama neno linavyosema. Yohana 14:1 “Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ..
JIBU: Hakuna utofauti wowote kati ya Roho Mtakatifu na Roho Takatifu, hilo ni neno moja tu isipokuwa inategemeana kulingana na mahali neno lilipotumika, Roho Mtakatifu anapotumika ndani yetu, anapozungumza na sisi, na kutuongoza, na kututia katika kweli yote..anachukua nafasi ya mtu wa pili ndani yetu, anakuwa ni kama vile mwalimu na mwanafunzi wake, au ..