Archives : September-2025

Mapambo yanachochea uzinzi. Je! Ni kweli kujipamba kwa kutumia mekaups, lipustiks, wanja, wigi, hereni, n.k ni urembo tu? Je! Biblia inasemaje kuhusu kujipamba? Biblia inasema kujipamba kwenu kusiwe kwa nje. Ahaa kumbe tunatakiwa kujipamba lakini sio kwa nje! sasa kama sio kwa nje, basi itakuwa kwa ndani. Maana yake wanawake wa kikirsto wanapaswa wajipambe kwa ..

Read more

WALAKINI MAHALI PA JUU HAPAKUONDOLEWA. 2 Wafalme 14:4 “Walakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.” Jina la mwokozi Yesu libarikiwe daima, karibu tujifunze biblia neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Katika Agano la kale nyakati za Wafalme, kuna watu walikuwa wanatoa sadaka ..

Read more

Mungu ndiye abadilishaye mashauri. Ni kawaida kusikia ushauri wa mtu Fulani ni zuri au kusikia yule usimsikilize ushauri wake utakupoteza. Lakini watu wengi hatujui kuwa ushauri wa Bwana ni mzuri zaidi ya ushauri wa wanadamu, kwani mara nyingi adui shetani amekuwa akiwatumia watu kuharibu maisha ya watu wengi kupitia ushauri ambao tunaweza kuupokea na kuona ..

Read more

Umuhimu wa kuwa ndani ya Yesu. Nakusalimu katika jina kuu la Bwana Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana. Karibu tujifunze biblia kitabu cha uzima, na leo tutajifunza umuhimu wa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu. (Kuwa ndani ya Yesu). Kwanza ndani ya Yesu kuna ulinzi. Na leo nitakuongezea chachu ya kuzama ndani ..

Read more

LAKINI SASA YAWEKENI MBALI NANYI HAYA YOTE. Wakolosai 3: 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. [9]Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; Biblia imetuhasa tuweke mbali mambo hayo yote yaliyotajwa hapo juu; yaani hasira, ghadhabu, uovu, ..

Read more

FANYENI MAMBO YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.  Jina kuu la Yesu Kristo Mfalme Mkuu libarikiwe sana. Karibu tujifunze biblia. Neno la Mungu linasema katika.. 1Wakorintho 10:31 “Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu. Biblia imetuagiza tufanye mambo yote kwa utukufu wa Mungu. Hii ikiwa na maana kuwa ..

Read more

OLE WENU NINYI!! Amosi 5:18 “Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwani kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru. [19]Ni kama mtu aliyemkimbia simba, akakutana na dubu; au aliingia katika nyumba akauegemeza mkono wake ukutani, nyoka akamwuma. Amosi 6:3-6,13 Ninyi mnaoiweka mbali siku hiyo mbaya, na kulileta karibu kao la udhalimu; [4]ninyi ..

Read more