SHIKA UZIMA WA MILELE ULIOITIWA Kila mmoja wetu aliyeokoka kweli kweli anapaswa kujua kitu cha kwanza Mungu alichotuitia sio mafanikio ya hapa duniani hayo ni ya ziada, lakini kikubwa ambacho tumeitiwa ni UZIMA WA MILELE. 1Timotheo 6:12 “Piga vita vile vizuri vya imani; SHIKA UZIMA ULE WA MILELE ULIOITIWA, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi ..
Archives : January-2026
Kwanini watu wengi watakataliwa siku ile? Kristo alisema watu wengi watakuja siku ile wakisema Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? (Mathayo7:22). Lakini yeye atawaambia sikuwajua kamwe, maana yake tangu mwanzo wakiwa wanalitumia jina lake hawakujulikana, japo kuwa walikuwa wanatoa pepo na ..
USINIPUNGUZIE MWENDO. Tukiwa bado tupo mwanzo wa mwaka, ni wakati wa kushika sana vile tulivyo navyo na kuendelea mbele, wala si wakati wa kurudi nyuma kabisa au kupunguza mwendo uliokuwa nayo. Ulikuwa upo mbali na anasa mwaka jana, basi huu mwaka unapasawa kwenda mbali zaidi, ulikuwa umejitenga na mambo ya kiulimwengu mwaka jana, mwaka huu ..
SULIBISHA MWILI WAKO KWA BWANA. Wagalatia 5:24 “Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. [25]Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho”. Siku zote fahamu kuwa adui wa kwanza wa mtu ni MWILI wake na wala sio shetani. Shetani anautumia mwili wako kukushawishi utende dhambi. Hivyo ukiruhusu ..
BWANA, UUACHE MWAKA HUU NAO. Biblia inatufananisha sisi na kama miti izaayo matunda, hivyo kila mmoja wetu anapaswa azae matunda kwa Mungu, kadhalika biblia imetuonya pia mti usiozaa matunda utakatwa, kama tunavyosoma mfano Bwana wetu alioutoa katika Luka 13:6 “Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta ..
MWANZO WA MWAKA MPYA VAA SILAHA ZOTE ZA MUNGU Jina la Bwana YESU mkuu wa wafalme wa dunia (ufunuo1:5) na mkuu wa uzima libarikiwe daima. Heri ya mwaka mpya wa 2026, Karibu katika masomo yanayohusiana na mwanzo wa mwaka mpya..ili tuanze mwaka wetu na Bwana na tukapokee baraka tele za rohoni na mwilini. Ikiwa we ..