Jina la Bwana Yesu Kristo Lihimidiwe. Karibu tujifunze maneno ya Uzima… Maandiko yanasema katika.. Warumi 12:3” Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu ASINIE MAKUU KUPITA ILIVYOMPASA KUNIA; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha imani.” SWALI linakuja, JE! Huko Kunia makuu ndio kufanyaje? Warumi 12:4-84″ ..
Author : magdalena kessy
Shalom karibu tujifunze Maneno ya Uzima.. Warumi 13:14Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa hapo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, na hatimae kuziwasha tamaa za mwili…Mtu anapofikia hatua hii huwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa Kila jambo Lasivyo mtu huyo ..
Karibu tuyatafakari Maneno ya Mungu.. Luka 14:26” Kama mtu akija kwangu naye HAMCHUKII baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake waume na wake; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. Bwana alipoyazungumza Maneno hayo,hakuwa na maana kumdharau au kuwa na uadui, hapana, bali alimaanisha yule apendaye ..
Jina la Bwana libarikiwe, karibu tujifunze. Kipindi Musa anamuuliza Mungu kuhusu jina lake alitegemea kutajiwa jina fulani kama vile baali, Ashtoreth n.kZaidi tunaona Mungu anamjibu kwa jumla akisema, wakikuuliza jina langu waambie Mimi ni ” Niko ambaye Niko” Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu. Ukiangalia ..
Shalom, Karibu tuyatafakari Maneno yenye uzima.. Biblia inasema tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, na leo tutajifunza ni msingi gani tunaotakiwa kuufahamu zaidi.. Waefeso 2:20 [20]Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. Ni kweli kupitia msingi huu wa mitume na manabii ambao ni ..
Bwana Yesu Kristo Asifiwe. Nikukaribishe tujifunze maneno ya Uzima JIBU: Hosea 12:7“NI MCHUUZI, mizani ya udanganyifu i mkononi mwake; anapenda kudhulumu .” Mchuuzi ni mtu anayejishughulisha na ununuaji wa bidhaa na kuzisafirisha kuziuza sehemu nyingine hususani nje ya nchi yake. Unaweza kupitia tena, utalipata katika Wimbo ulio Bora 3:6, Ezekiel 27:3, 27:20-22 pamoja na Isaya ..
Karibu tujifunze Maneno ya Uzima.. Mahali popote unapoona Mungu anasema ameliweka jina lake anamaanisha sehemu hiyo au kitu hicho ni ” kiteule chake yaani Amekichagua ” Au amekiweka wakfu kwa ajili ya kumwabudu, Kumtangaza, kumfanyia Ibada n.k si vinginevyo! Ni kitu,mtu au mahali popote ambapo pamewekwa wakfu kwa Mungu au kupakwa mafuta ya Utumishi, basi ..
JIBU, 1Wakorintho 1:25 “Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu’’ Unaweza ukawa umeshajiuliza haya maswali, Je Mungu ni mpumbavu? Mungu wetu ana udhaifu? Mtu yoyote aliyeumbwa ma Mungu akapewa akili na uwezo wa kutambua mambo mbalimbali ambayo Mungu amefanya kama vile kuumba sayari, ..
Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima Swala la kuokoka peke yake halitoshi mbele za Mungu, kuna ngazi 7 ambazo ni lazima mtu wa Mungu azipande ili Mungu auone ukamilifu wako unapokuwa hapa duniani. Inatakiwa tuende mbele zaidi ya kuokoka na kubatizwa hatutakiwi tubaki hapo kwa sababu hatutakuwa na ushuhuda wowote na pengine tukafa kiroho. Mtume ..
Shalom mwana wa Mungu, karibu tujifunze Neno la Mungu… Biblia inatuambia roho mbaya kutoka kwa Bwana ikamjia Sauli, bila shaka unajiulza ni roho ya namna gani? Sote tunajua Mungu wetu hutupa roho nzuri na ya amani, sasa inakuwaje aachilie roho mbaya kwa mtu tena ambaye ameshamtia mafuta na roho hiyo inafanya uharibifu kwa watu wasio ..