Fahamu Mambo yanayoweza kukughalimu katika Ukristo wako. nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Yapo mambo mengi katika safari ya Imani kama usipoyafahamu yatakughalimu kwa sehemu kubwa na safari ya Imani hutaifurahia kabisa kwa sababu hutakuwa na Amani na mwisho wa siku utaona kama ..
Author : Paul Elias
Unawezaje kufahamu mambo ya Rohoni. nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari katika Makala fupi namna ya kuyafahamu mambo ya Rohoni. Nakuombea neema ya kuelewa katika kila utakachokwenda kujifunza. Wakristo wengi tunatamani sana kuyajua mambo ya rohoni kujua jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi nk. Na wakati mwigine tunafikiri ni kazi sana ..
Shalom nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. kuna mambo ya muhimu sana kama mwamini unayotakiwa kuyaelewa ama kuyafahamu juu ya Neno la Mungu? Kama usipoelewa kuna hatua hutafika kamwe. Kuna mambo mengi ya Msingi yanayokuhusu na ni kwa faida yako hutayafahamu na utaelendelea ..
FAHAMU HATUA AMBAYO SHETANI ANATAKA UIFIKIE. shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Shetani kuna mahali ambapo anataka kila mtu aliemwamini Yesu Kristo aifikie hatua Fulani na mtu huyo akishafikia katika hatua hiyo basi kwake shetani ni ushindi mkubwa sana maana kwa mtu huyo ni ngumu sana ..
Waepuke Wanaojiita Wakristo wa namna hii. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika nyakati za mwisho hizi yapo makundi ya watu wanaojiita Wakristo lakini maisha yao yanatofauti kabisa wala hayaendani hata kidogo na Ukristo. Tofauti na ilivyozoeleka kwa watu kuwa ukristo au wakristo ni dini ..
Nini maana ya kuhesabiwa haki kwa imani? Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama Wakristo ni Muhimu sana kuelewa jambo hili sio katika akili zetu tu basi likawa kama taarifa fulani tu ambayo tunaifahamu maandiko yanasema hivyo lakini jambo hili ni msingi dhabiti sana ..
Piga hatua Fikia katika kiwango hiki Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama mkristo kuna viwango ambavyo unapaswa kuvifikia viko viwango vya namna mbali mbali ambavyo unapaswa kuvifikia lakini kwa leo tutaangalia kiwango au hatua ambayo wewe kwako ni ya muhimu sana ..
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na..! Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. Sehemu ya 01. Katika kitabu cha Mathayo sura ya 13 Bwana Yesu alizungumza mifano saba 7 kuhusu siri za ufalme wa mbinguni umefanana na…. Lengo kuu Yesu Kristo alitaka tutafakari kwa kina hiyo mifano ili ..
Fahamu wajibu wako kama kuhani wa Mungu Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Katika agano jipya kila mtu amefanyika kuwa ni kuhani, na Yesu Kristo ndio kuhani wetu wetu mkuu kama jinsi maandiko yanavyo sema. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa ..
Nakusalimu katika jina la Mkuu wa uzima Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuoka ni Mwanzo wa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu, lakini jambo la kusikitisha watu wengi wanaishia kuokoka peke yake tu. Na wanashindwa kuwa na mahusiano ya karibu na Bwana Yesu. “Shetani haogopi wokovu ulionao, Shetani anaogopa mahusiano yako wewe na ..