Author : Rehema Jonathan

Shalom. Turejee.. Kumbukumbu 23:24 Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako. 25 Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisongeze mundu katika mmea wa jirani yako. Maagizo haya yalikuwa katika kipindi Cha Sheria ya Musa (torati), ..

Read more

Shalom Mwongofu au aliyeongoka ni aliyebadilika mwenendo, hivyo ongoka ni “geuka”, biblia ya kiingereza imetumia neno “be converted”.. Mathayo 18.3 “akasema, Amin, nawaambia, MSIPOONGOKA na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni”. Pia limetumika katika Marko… Marko 4: 11 “Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje ..

Read more

Shalom. Habari hii utaipata katika injili ya Luka 21:18 na mathayo 10:30, Mathayo 10:30 ”lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote” Luka akaandika hivi… Luka 21:18 “Walakini hautapotea hata unywele mmoja wa vichwa vyenu.” Ikiwa ni kuonesha kuwa hakuja kuleta ukombozi wa Roho pekee bali na hata miili yetu pia. Mtume Paulo anaandika ..

Read more

Karibu tujifunze!.. Hapana shaka Wala changamoto yoyote ya kiimani kwa Aliye mgonjwa kumtafuta daktari au matibabu fulani. Tatizo ni kuwa watu wengine huhisi kwa kutokwenda hospitali au kutafuta njia nyingine yoyote ya matibabu kama vile mitishamba(aloe vera, mwarobaini n.k) ni kuonesha ukubwa wa Imani yao, na imepelekea kupata matatizo makubwa ya kiafya! Imani yako ipo ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima!.. Swali: Yesu alikuwa na maana Gani kumwambia yule mwanamke chakula Cha watoto hawapewi Mbwa? Jibu: Habari hiyo inayopatikana katika injili yaani mathayo 15:21, Marko7:24-30 unaweza kupitia sehemu zote kwa uchambuzi sahihi zaidi, ni habari inayohitaji umakini mkubwa katika kujifunza. Karibu tutafakari kwa pamoja mazungumzo haya.. Mathayo 15: ..

Read more

Shalom. Jibu: hakuna zao lililoumbwa na Mungu kwa lengo baya mfano kutengeneza Pombe, sigara n.k lakini tatizo linaanza pale linapotumiwa vibaya na sisi wenyewe. Baadhi ya mifano ni kama vile mtama ambao ni zao la chakula lakini watu hulitumia kuundia pombe, miwa ni sukari lakini watu wengine huundia pombe, kadhalika na kwa minazi, mtama, ulezi ..

Read more

Bwana Yesu Asifiwe. Jibu: habari hii utaipata katika matendo 15.. Matendo 15:37 ″Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyeitwa Marko pamoja nao. 38 Bali Paulo HAKUONA VEMA kumchukua huyo aliyewaacha huko pamfilia,asiende nao kazini. 39 Basi palitokea mashindano baina yao hata wakatengana….” Tukianzia sura ya 13:13 utaona Yohana hakuwa radhi kuongozana na Paulo na Barnaba kwa kuogopa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe. Jibu: suala la kufunga ndoa lipo kibiblia kabisa ( ni Agizo la Mungu) lakini harusi ni karamu au sherehe tu kuadhimisha tukio Hilo la muhimu kati ya wahusika [Bibi na Bwana Harusi]. Sasa sherehe hizo huenda kulingana na Mila na Desturi za mahali husika. Utaona pia Yesu katika mifano yake aliwahi pia ..

Read more

Shalom. Najua ushawahi kujiuliza ni kwa Nini Kila nchi Ina bendera zenye rangi mbalimbali, ambapo Kila rangi huwakilisha kitu fulani mfano Tanzania ina rangi nne [Bluu, kijani, Nyeusi na njano]. Kila moja inawakilisha jambo fulani kuhusu Tanzania, ambalo litamjulisha Mtu kulihusu kabla hata hajafika.. > Kijani: uoto wa asili > Bluu: Bahari na vyanzo vingine ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe! Swali: Ni mizaha Gani inayoongelewa zaburi 1:1? Kuna tofauti kati ya mizaha na utani? Kama hamna utofauti, je? Hata kutaniana na mtu ni dhambi? Jibu: tusome.. Zaburi 1:1 “Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha”. Imezungumzia ..

Read more