Jina la Bwana libarikiwe karibu tuweze kujifunza tena Neno la Mungu litupalo uzima ndani yetu… Tusome andiko hilo ili tupate maana ya mstari huo Zaburi 38:10 “Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka”. Maana ya neno “moyo wangu unapwita pwita, ni sawa na kusema moyo wangu unauma hivyo maana ya ..
Author : Rehema Jonathan
Turejee neno la Bwana ili tupate maana iliyo Bora zaidi. Isaya 66:3 “Yeye achinjaye ng’ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua ..
Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Neno la Mungu linaonyesha kuwa Mungu ni nabii ikimaanisha kuwa ni kiongozi anayesimamia na kuliendesha kundi kubwa la watu wenye misimamo na mitazamo tofauti kulingana na lugha, tabia na mwenendo.hata kwa Mungu wetu itoshe kusema kuwa yeye ni nabii kwakuwa ..
Tusome Kumbukumbu 13:6 “Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako; 7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ..
Shalom karibu tujifunze Tusome Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” Maana ya kudhili ni kunyenyekea au kuchuka chini, au kushushwa chini Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” ..
Je dia ni nini kibiblia Maana ya neno dia, kwa maana nyingine linatafsirika kama “fidia” tusome kifungu hicho hili tuelewe vizuri nini maana halisi ya neno hilo Mithali 13:8 “Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake; Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote”. Kwahiyo hapo tunaweza kusema “faida ya nafsi ya mtu ni utajiri ..
Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Turejee maneno ya Bwana kutoka katika kitabu hiki ili tuelewe zaidi neno linasema. 2Wakorintho 7:2 “Tupeni nafasi mioyoni mwenu. Hatukumdhulumu mtu ye yote, wala kumharibu mtu, wala kumkaramkia mtu. 3 Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia ..
Shalom mwana wa Mungu karibu tena katika kujifunza. Tukianzia sura hiyo ya 16 hadi 17 kuna jambo ambalo alilieleza Paulo hadi akasema yeye ameaminiwa uwakili tusome 1Wakorintho 9:16 “Maana, ijapokuwa naihubiri Injili, sina la kujisifia; maana nimewekewa sharti; tena ole wangu nisipoihubiri Injili! 17 Maana nikiitenda kazi hii kwa hiari yangu nina thawabu; ila ikiwa ..
Shalom mwana wa Mungu muumbaji wa vyote karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Yerusalemu maana yake ni mji wa amani ambapo ndiyo mahali penye msingi wa Imani yetu. Mji huu wa yerusalemu kabla haujapata sifa hii ya amani ulikuwa ukiitwa mji wa wakanaani kipindi ambacho wayahudi walikuwa hawajaimiliki nchi yao ..
Nakusalimu kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tena katika kujifunza Neno lake litupalo nuru.. Maana halisi ya neno hilo “kuiaua nchi” ni kuitembelea nchi au kuizuru, mfano mzuri ni kwa watalii pale wanapokuja kwa ajili ya kutalii kutoka katika nchi zao, au wale watu wanaotumwa kwenda kupepeleza nchi fulani, huko ndiko “kuiaua nchi” ..