Author : Rehema Jonathan

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze neno la Mungu ambalo ni maji ya uzima. NI KIUMBE GANI KINACHOSUJUDIWA HAPO KATIKA WARUMI 1:25? Warumi 1:25 inasema”kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya muumba anayehimidiwa milele” Amina. Kiumbe ni kitu chochote chenye uhai kama vile wanyama na mimea. Maandiko yaliposema ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa muumba wetu. MZUSHI NI NANI? Ni mtu anayezusha au kuolongea jambo ambalo lina makusudio ya kuweka mgawanyiko. Hata katika kanisa wapo wazushi wanaozusha mambo ili kuleta mgawanyiko katika kanisa. Biblia imesema tusiwape nafasi wazushi. Tito 3:10 inasema”mtu aliye mzushi baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe karibu katika kujifunza Neno la Mungu Swali: “Kama Mungu alituumba yeye kwanini siku ya mwisho awachome watu katika ziwa la moto”? JIBU: Kwanza kabisa kitu ambacho tunapaswa kukitambua kwa Mungu wetu, sifa yake kuu yeye ni UPENDO, tena mwingi Rehema, na upendo wake hauchangui mwema au mbaya katika kupenda yeye anapenda kila ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima Toka kwa Bwana wetu yesu kristo. Jibu ni hili kwamba mariamu alimzaa Bwana Yesu kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani  Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na siyo mama wa Mungu. Bwana yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta kuabudiwa na ndiyo ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe nakusalimu kupitia jina la Yesu, karibu tena katika kujifunza neno la Mungu… Tusome, Waebrania 6:4 “Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, 5 na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, 6 wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya ..

Read more

Kumekuwa na sintofahamu sana katika swala hili la uvaaji wa suluari, haswa kwa wanawake kuna baadhi ya watu, hudai kuwa ni vazi kama vazi lingine maana linamsitiri mwanamke, Je jambo hili ni kweli? Jibu: Ukweli ni kwamba vazi hili suluari halimpasi kabisa mwanamke kuvaa, kwanza kabisa vazi hili la suluari tunalithibitisha katika maandiko lilionekana kuvaliwa ..

Read more

Shalom. Katika Agano la kale. Neno sayuni limetumika mazingira tofauti tofauti, mfano, baada ya Daudi kuiteka Yerusalemu, ile sehemu ilitiwa ngome ya sayuni (2Samweli 5:7), hivyo kwa hapa imetumika Kama mji wa Daudi au wa Mungu. Kadhalika na mlimani ambapo hekalu la Mungu lilijengwa liliitwa pia mlima sayuni, (Yeremia 31: 6,12) Mahali pengine utaona ni ..

Read more

Shalom. Turejee.. Kumbukumbu 23:24 Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako. 25 Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisongeze mundu katika mmea wa jirani yako. Maagizo haya yalikuwa katika kipindi Cha Sheria ya Musa (torati), ..

Read more

Shalom Mwongofu au aliyeongoka ni aliyebadilika mwenendo, hivyo ongoka ni “geuka”, biblia ya kiingereza imetumia neno “be converted”.. Mathayo 18.3 “akasema, Amin, nawaambia, MSIPOONGOKA na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni”. Pia limetumika katika Marko… Marko 4: 11 “Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje ..

Read more

Shalom. Habari hii utaipata katika injili ya Luka 21:18 na mathayo 10:30, Mathayo 10:30 ”lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote” Luka akaandika hivi… Luka 21:18 “Walakini hautapotea hata unywele mmoja wa vichwa vyenu.” Ikiwa ni kuonesha kuwa hakuja kuleta ukombozi wa Roho pekee bali na hata miili yetu pia. Mtume Paulo anaandika ..

Read more